Results for wanaume translation from Swahili to Coptic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Coptic

Info

Swahili

nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume elfu tano.

Coptic

ⲞⲨⲞϨ ⲚⲎ ⲈⲚⲀⲨⲞⲨⲰⲘ ⲚⲚⲒⲰⲒⲔ ⲚⲀⲨⲈⲢ ⲈⲚϢⲞ ⲚⲢⲰⲘⲒ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Coptic

ⲚⲎ ⲆⲈ ⲈⲚⲀⲨⲞⲨⲰⲘ ⲚⲀⲨⲈⲢ ⲆⲚϢⲞ ⲚⲢⲰⲘⲒ ⲬⲰⲢⲒⲤ ⲀⲖⲞⲨ ⲚⲈⲘ ⲤϨⲒⲘⲒ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengi wao waliamini na pia wanawake wa kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.

Coptic

ⲞⲨⲘⲎϢ ⲘⲈⲚ ⲞⲨⲚ ⲈⲂⲞⲖ ⲚϦⲎⲦⲞⲨ ⲀⲨⲚⲀϨϮ ⲚⲈⲘ ϨⲀⲚⲔⲈⲞⲨⲞⲚ ⲈⲂⲞⲖ ϦⲈⲚⲚⲒⲞⲨⲈⲒⲚⲒⲚ ⲚϨⲒⲞⲘⲒ ⲚⲈⲨⲤⲬⲎⲘⲰⲚ ⲚⲈⲘ ϨⲀⲚⲔⲈⲢⲰⲘⲒ ⲚϨⲀⲚⲔⲞⲨϪⲒ ⲀⲚ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Coptic

ⲚⲎ ⲆⲈ ⲈⲦⲀⲨⲞⲨⲰⲘ ⲚⲀⲨⲈⲢ ⲈⲚϢⲞ ⲚⲢⲰⲘⲒ ⲬⲰⲢⲒⲤ ⲀⲖⲞⲨ ⲚⲈⲘ ⲤϨⲒⲘⲒ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata njia hii. niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake na kuwafunga gerezani.

Coptic

ⲈⲀⲒϬⲞϪⲒ ⲚⲤⲀⲠⲀⲒⲘⲰⲒⲦ ϢⲀ ⲈϦⲢⲎⲒ ⲈⲪⲘⲞⲨ ⲈⲒⲤⲰⲚϨ ⲚϨⲀⲚⲢⲰⲘⲒ ⲚⲈⲘ ϨⲀⲚϨⲒⲞⲘⲒ ⲈⲒϨⲒⲞⲨⲒ ⲘⲘⲰⲞⲨ ⲈⲠϢⲦⲈⲔⲞ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naam, hata watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, nitawamiminia roho wangu, siku zile, nao watautangaza ujumbe wangu.

Coptic

ⲔⲈⲄⲈ ⲈⲒⲈⲪⲰⲚ ⲈⲂⲞⲖ ϦⲈⲚⲠⲀⲠⲚⲈⲨⲘⲀⲈϨⲢⲎⲒ ⲈϪⲈⲚ ⲚⲀⲂⲰⲔ ⲚⲈⲘ ⲚⲀⲂⲰⲔⲒ ϦⲈⲚⲠⲒⲈϨⲞⲞⲨ ⲈⲦⲈⲘⲘⲀⲨ ⲞⲨⲞϨ ⲈⲨⲈⲈⲢⲠⲢⲞⲪⲎⲦⲈⲨⲒⲚ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini walipouamini ujumbe wa filipo juu ya habari njema ya ufalme wa mungu na jina la yesu kristo, walibatizwa, wanawake na wanaume.

Coptic

ϨⲞⲦⲈ ⲈⲦⲀⲨⲚⲀϨϮ ⲈⲪⲒⲖⲒⲠⲠⲞⲤ ⲈϤϨⲒϢⲈⲚⲚⲞⲨϤⲒ ⲚⲰⲞⲨ ⲚϮⲘⲈⲦⲞⲨⲢⲞ ⲚⲦⲈⲪⲚⲞⲨϮ ⲚⲈⲘ ⲪⲢⲀⲚ ⲚⲒⲎⲤⲞⲨⲤ ⲠⲬⲢⲒⲤⲦⲞⲤ ⲚⲀⲨⲚⲎⲞⲨ ⲠⲈ ⲚϪⲈϨⲀⲚⲢⲰⲘⲒ ⲚⲈⲘ ϨⲀⲚϨⲒⲞⲘⲒ ⲈⲨϬⲒⲰⲘⲤ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, popote mnapokutana kufanya ibada nataka wanaume wasali, watu waliojitolea kweli na ambao wanaweza kuinua mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi.

Coptic

ϮⲞⲨⲰϢ ⲞⲨⲚ ⲚⲦⲈⲢⲰⲘⲒ ⲚⲒⲂⲈⲚ ⲦⲰⲂϨ ϦⲈⲚⲘⲀⲒ ⲚⲒⲂⲈⲚ ⲈⲨϤⲀⲒ ⲚϨⲀⲚϪⲒϪ ⲈⲠϢⲰⲒ ⲈⲨⲞⲨⲀⲂ ⲬⲰⲢⲒⲤ ϪⲰⲚⲦ ⲚⲈⲘ ⲘⲞⲔⲘⲈⲔ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huohuo, saulo alijaribu kuliangamiza kanisa. alikwenda katika kila nyumba, akawatoa nje waumini, wanaume kwa wanawake, akawatia gerezani.

Coptic

ⲤⲀⲨⲖⲞⲤ ⲆⲈ ⲚⲀϤϮ ⲞⲨⲂⲈ ϮⲈⲔⲔⲖⲎⲤⲒⲀ ⲈϤⲚⲀ ⲈϦⲞⲨⲚ ⲈⲚⲒⲎⲒ ⲈϤⲰϢϮ ⲚϨⲀⲚⲢⲰⲘⲒ ⲈⲂⲞⲖ ⲚⲈⲘ ϨⲀⲚϨⲒⲞⲘⲒ ⲈϤϨⲒⲞⲨⲒ ⲘⲘⲰⲞⲨ ⲈⲠϢⲦⲈⲔⲞ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wanaume hali kadhalika, wanaacha kufuata matumizi ya maumbile ya mume na mke wakawakiana tamaa wao kwa wao. wanaume wanafanyiana mambo ya aibu, na hivyo wanajiletea wenyewe adhabu wanayostahili kwa vitendo vyao viovu.

Coptic

ⲠⲀⲒⲢⲎϮ ⲞⲚ ⲚⲒⲔⲈϨⲰⲞⲨⲦ ⲀⲨⲬⲰ ⲚⲤⲰⲞⲨ ⲚϮⲪⲨⲤⲒⲔⲎ ⲚⲬⲢⲎⲤⲒⲤ ⲚⲦⲈϮⲤϨⲒⲘⲒ ⲀⲨⲢⲰⲔϨ ϦⲈⲚⲠⲞⲨⲞⲨⲰϢ ⲈⲚⲞⲨⲈⲢⲎⲞⲨ ϨⲀⲚϨⲰⲞⲨⲦ ϦⲈⲚϨⲀⲚϨⲰⲞⲨⲦ ⲈⲨⲈⲢϨⲰⲂ ⲈⲠϢⲒⲠⲒ ⲈⲨⲈϬⲒ ⲈⲠϢⲈⲂⲒⲈ ⲂⲈⲬⲈ ⲈⲦⲤϢⲈ ⲚⲦⲈⲦⲞⲨⲠⲖⲀⲚⲎ ⲚϦⲢⲎⲒ ⲚϦⲎⲦⲞⲨ ⲘⲘⲒⲚ ⲘⲘⲰⲞⲨ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(walikuwepo pale wanaume wapatao elfu tano.) basi, yesu akawaambia wanafunzi wake, "waambieni watu waketi katika makundi ya watu hamsinihamsini."

Coptic

ⲚⲀⲨⲞⲒ ⲆⲈ ⲚⲀⲨ ⲈⲚϢⲞ ⲚⲢⲰⲘⲒ ⲀϤϪⲞⲤ ⲆⲈ ⲚⲚⲈϤⲘⲀⲐⲎⲦⲎⲤ ϪⲈ ⲘⲀⲢⲞⲨⲢⲰⲦⲈⲂ ⲔⲀⲦⲀ ⲘⲀ ⲚϨⲀⲚⲚ ⲈⲪⲘⲀ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika siku zile za mwisho, asema bwana, nitawamiminia binadamu wote roho wangu. watoto wenu, wanaume kwa wanawake, watautangaza ujumbe wangu; vijana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto.

Coptic

ϪⲈ ⲈⲤⲈϢⲰⲠⲒ ϦⲈⲚⲚⲒⲈϨⲞⲞⲨ ⲚϦⲀⲈ ⲠⲈϪⲈ ⲪⲚⲞⲨϮ ⲈⲒⲈⲪⲰⲚ ⲈⲂⲞⲖ ϦⲈⲚⲠⲀⲠⲚⲈⲨⲘⲀⲈϪⲈⲚ ⲤⲀⲢⲜ ⲚⲒⲂⲈⲚ ⲞⲨⲞϨ ⲈⲨⲈⲈⲢⲠⲢⲞⲪⲎⲦⲈⲨⲒⲚ ⲚϪⲈⲚⲈⲦⲈⲚϢⲎⲢⲒ ⲚⲈⲘ ⲚⲈⲦⲈⲚϢⲈⲢⲒ ⲞⲨⲞϨ ⲚⲈⲦⲈⲚϦⲈⲖϢⲒⲢⲒ ⲈⲨⲈⲚⲀⲨ ⲈϨⲀⲚϨⲞⲢⲀⲤⲒⲤ ⲞⲨⲞϨ ⲚⲈⲦⲈⲚϦⲈⲖⲖⲞⲒ ⲈⲨⲈⲪⲰⲢ ⲚϨⲀⲚⲢⲀⲤⲞⲨⲒ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,110,017 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK