Translate

Translate text

Translate documents

Translate documents

Translate voice

Interpreter

Results for watiini translation from Swahili to Coptic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Coptic

Info

Swahili

enyi watoto, watiini wazazi wenu kikristo maana hili ni jambo jema.

Coptic

ⲚⲒϢⲎⲢⲒ ⲤⲰⲦⲈⲘ ⲚⲤⲀⲚⲈⲦⲈⲚⲒⲞϮ ϦⲈⲚⲠϬⲞⲒⲤ ⲪⲀⲒ ⲄⲀⲢ ⲞⲨϨⲰⲂ ⲘⲘⲎⲒ ⲠⲈ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi akina mama, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo bwana.

Coptic

ⲚⲒϨⲒⲞⲘⲒ ⲘⲀϬⲚⲈϪⲰⲦⲈⲚ ⲚⲚⲈⲦⲈⲚϨⲀⲒ ⲘⲪⲢⲎϮ ⲈⲦⲤⲈⲘⲠϢⲀ ϦⲈⲚⲠϬⲞⲒⲤ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza.

Coptic

ⲚⲒⲈⲂⲒⲀⲒⲔ ⲈⲢⲈⲦⲈⲚϬⲚⲞ ⲚϪⲰⲦⲈⲚ ⲚⲚⲈⲦⲈⲚϬ ⲒⲤⲈⲨ ϦⲈⲚϨⲞϮ ⲚⲒⲂⲈⲚ ⲚⲒⲀⲄⲀⲐⲞⲤ ⲘⲘⲀⲨⲀⲦⲞⲨ ⲀⲚ ⲚⲈⲠⲒⲔⲎⲤ ⲀⲖⲖⲀ ⲚⲈⲘ ⲚⲒⲔⲈⲬⲰⲞⲨⲚⲒ ⲈⲦⲔⲰⲖϪ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi watumwa, watiini mabwana zenu hapa duniani kwa hofu na tetemeko; fanyeni hivyo kwa unyofu wa moyo kana kwamba mnamtumikia kristo.

Coptic

ⲚⲒⲈⲂⲒⲀⲒⲔ ⲤⲰⲦⲈⲘ ⲚⲤⲀⲚⲈⲦⲈⲚϬⲒⲤⲈⲨ ⲔⲀⲦⲀ ⲤⲀⲢⲜ ϦⲈⲚⲞⲨϨⲞϮ ⲚⲈⲘ ⲞⲨⲤⲐⲈⲢⲦⲈⲢ ϦⲈⲚⲞⲨⲘⲈⲦⲀⲠⲖⲞⲨⲤ ⲚⲦⲈⲠⲈⲦⲈⲚϨⲎⲦ ϨⲰⲤ ⲈⲢⲈⲦⲈⲚⲤⲰⲦⲈⲘ ⲚⲤⲀⲠϬⲞⲒⲤ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi watumwa, watiini wakuu wenu wa kidunia katika mambo yote, na si tu wakati wanapowatazama kwa kuwa mnataka kujipendekeza kwao; ila fanyeni hivyo kwa moyo wote, kwa sababu ya kumcha bwana.

Coptic

ⲚⲒⲈⲂⲒⲀⲒⲔ ⲤⲰⲦⲈⲘ ⲚⲤⲀⲚⲈⲦⲈⲚϬⲒⲤⲈⲨ ⲔⲀⲦⲀ ⲤⲀⲢⲜ ϦⲈⲚϨⲰⲂ ⲚⲒⲂⲈⲚ ϦⲈⲚⲞⲨⲘⲈⲦⲂⲀⲖ ⲘⲂⲰⲔ ⲀⲚ ⲘⲪⲢⲎϮ ⲚϨⲀⲚⲢⲈϤⲢⲀⲚⲰⲞⲨ ⲚⲚⲒⲢⲰⲘⲒ ⲀⲖⲖⲀ ϦⲈⲚⲞⲨϨⲀⲠⲖⲞⲨⲤ ⲚⲦⲈⲠⲈⲦⲈⲚϨⲎⲦ ϨⲰⲤ ⲈⲢⲈⲦⲈⲚⲈⲢϨⲞϮ ϦⲀⲦϨⲎ ⲘⲠϬ Ⲥ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watiini viongozi wenu na kushika amri zao; wao huchunga roho zenu usiku na mchana, na watatoa ripoti ya utumishi wao mbele ya mungu. kama mkiwatii watafanya kazi zao kwa furaha, la sivyo, watazifanya kwa huzuni, na hiyo haitakuwa na faida kwenu.

Coptic

ⲘⲀⲢⲈ ⲠⲈⲦⲈⲚϨⲎⲦ ⲐⲰⲦ ⲚⲈⲘ ⲚⲈⲦⲈⲚϨⲨⲄⲞⲨⲘⲈⲚⲞⲤ ⲞⲨⲞϨ ⲤⲰⲦⲈⲘ ⲚⲤⲰⲞⲨ ⲚⲐⲰⲞⲨ ⲄⲀⲢ ⲈⲦⲞⲒ ⲚϢⲢⲰⲒⲤ ⲈϪⲈⲚ ⲚⲈⲦⲈⲚⲮⲨⲬⲎ ϨⲰⲤ ⲈⲨⲚⲀϮⲖⲞⲄⲞⲤ ⲈϪⲰⲦⲈⲚ ϨⲒⲚⲀ ⲚⲤⲈⲈⲢ ⲪⲀⲒ ϦⲈⲚⲞⲨⲢⲀϢⲒ ⲞⲨⲞϨ ⲚⲤⲈϤⲒⲀϨⲞⲘ ⲀⲚ ⲪⲀⲒ ⲄⲀⲢ ⲠⲈⲦⲈⲢⲚⲞϤⲢⲒ ⲚⲰⲦⲈⲚ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,729,381 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK