Results for alisimama translation from Swahili to Croatian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Croatian

Info

Swahili

kulipoanza kupambazuka, yesu alisimama kando ya ziwa, lakini wanafunzi hawakujua kwamba alikuwa yeye.

Croatian

kad je veæ svanulo, stade isus na kraju, ali uèenici nisu znali da je to isus.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku chache baadaye, kulikuwa na mkutano wa waumini, karibu watu mia moja na ishirini. petro alisimama mbele yao,

Croatian

u one dane ustade petar meðu braæom - a bijaše sakupljenog naroda oko sto i dvadeset duša - i reèe:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye mwalimu mmoja wa sheria alisimama akamwuliza akitaka kumtega, "mwalimu, nifanye nini ili nipate uzima wa milele?"

Croatian

i gle, neki zakonoznanac usta i, da ga iskuša, upita: "uèitelju, što mi je èiniti da život vjeèni baštinim?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini mfarisayo mmoja aitwaye gamalieli ambaye alikuwa mwalimu wa sheria na aliyeheshimika sana mbele ya watu wote, alisimama mbele ya lile baraza, akataka wale mitume watolewe nje kwa muda mfupi.

Croatian

ali ustade u vijeæu neki farizej imenom gamaliel, zakonoznanac, kojega je poštovao sav narod. on zapovjedi da ljude naèas izvedu

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kushuka mlimani pamoja na mitume, yesu alisimama mahali palipokuwa tambarare. hapo palikuwa na kundi kubwa la wanafunzi wake na umati wa watu waliotoka pande zote za yudea na yerusalemu na pwani ya tiro na sidoni. wote walifika kumsikiliza yesu na kuponywa magonjwa yao.

Croatian

isus siðe s njima i zaustavi se na ravnu. i silno mnoštvo njegovih uèenika i silno mnoštvo naroda iz cijele judeje i jeruzalema, iz primorja tirskog i sidonskog

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usiku uliofuata, bwana alisimama karibu na paulo, akamwambia, "jipe moyo! umenishuhudia katika yerusalemu, utafanya vivyo hivyo mjini roma."

Croatian

iduæe noæi pristupi mu gospodin i reèe: "hrabro samo! jer kao što si za me svjedoèio u jeruzalemu tako treba da i u rimu posvjedoèiš!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baada ya majadiliano marefu, petro alisimama, akasema, "ndugu zangu, ninyi mnafahamu kwamba hapo awali mungu alipenda kunichagua mimi miongoni mwenu niihubiri habari njema, ili watu wa mataifa wapate kusikia na kuamini.

Croatian

nakon duge raspre ustade petar i reèe im: "braæo, vi znate kako me bog od najprvih dana izmeðu vas izabra da iz mojih usta pogani èuju rijeè evanðelja i uzvjeruju.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,919,555,613 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK