Results for ishara translation from Swahili to Croatian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Croatian

Info

Swahili

salimianeni kwa ishara ya upendo.

Croatian

pozdravite jedni druge svetim cjelovom. pozdravljaju vas svi sveti.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.

Croatian

pozdravite svu braæu cjelovom svetim.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wayahudi wanataka ishara, na wagiriki wanatafuta hekima;

Croatian

jer i Židovi znake ištu i grci mudrost traže,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu wote wanawasalimuni. nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya mungu.

Croatian

pozdravljaju vas sva braæa. pozdravite jedni druge cjelovom svetim.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ilikuwa ishara ya pili aliyoifanya yesu alipokuwa anatoka yudea kwenda galilaya.

Croatian

bijaše to drugo znamenje što ga uèini isus po povratku iz judeje u galileju.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

salimianeni kwa ishara ya upendo wa kikristo. nawatakieni amani ninyi mlio wake kristo.

Croatian

pozdravite jedni druge cjelovom ljubavi! mir svima vama koji ste u kristu!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonyesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.

Croatian

a drugi su iskušavajuæi ga, tražili od njega kakav znak s neba.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.

Croatian

stoga mu je i izišao u susret silan svijet: proèulo se da je on uèinio to znamenje.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jinsi yona alivyokuwa ishara kwa watu wa ninewi, ndivyo pia mwana wa mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.

Croatian

doista, kao što je jona bio znak ninivljanima, tako æe biti i sin Èovjeèji ovomu naraštaju."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wanafunzi wakaenda wakihubiri kila mahali. bwana akafanya kazi pamoja nao na kuimarisha ujumbe huo kwa ishara zilizoandamana nao.

Croatian

oni pak odoše i propovijedahu posvuda, a gospodin suraðivaše i utvrðivaše rijeè popratnim znakovima.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alifanya ishara hii ya kwanza huko kana, galilaya, akaonyesha utukufu wake; nao wanafunzi wake wakamwamini.

Croatian

tako, u kani galilejskoj, uèini isus prvo znamenje i objavi svoju slavu te povjerovaše u njega njegovi uèenici.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito;

Croatian

pokazat æu èudesa na nebu gore i znamenja na zemlji dolje, krv i oganj i stupove dima.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akawajibu, "kweli nawaambieni, mnanitafuta si kwa kuwa mmeona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba.

Croatian

isus im odgovori: "zaista, zaista, kažem vam: tražite me, ali ne stoga što vidjeste znamenja, nego stoga što ste jeli od onih kruhova i nasitili se.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana watatokea kina kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa mungu, kama ikiwezekana.

Croatian

ustat æe doista lažni kristi i lažni proroci i tvorit æe znamenja i èudesa da, bude li moguæe, zavedu izabrane.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"kutakuwa na ishara katika jua na mwezi na nyota. mataifa duniani yatakuwa na dhiki kwa sababu ya wasiwasi kutokana na mshindo wa mawimbi ya bahari.

Croatian

"i bit æe znaci na suncu, mjesecu i zvijezdama, a na zemlji bezizlazna tjeskoba naroda zbog huke mora i valovlja.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wengi katika ule umati wa watu walimwamini, wakasema, "je, kristo akija atafanya ishara kubwa zaidi kuliko alizozifanya huyu?"

Croatian

a mnogi iz mnoštva povjerovaše u nj te govorahu: "zar æe krist, kada doðe, èiniti više znamenja nego što ih ovaj uèini?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!

Croatian

i znamenje veliko pokaza se na nebu: Žena odjevena suncem, mjesec joj pod nogama, a na glavi vijenac od dvanaest zvijezda.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

simeoni akawabariki, akamwambia maria mama yake, "mtoto huyu atakuwa sababu ya kupotea na kuokoka kwa watu wengi katika israeli. naye atakuwa ishara itakayopingwa na watu;

Croatian

Šimun ih blagoslovi i reèe mariji, majci njegovoj: "ovaj je evo postavljen na propast i uzdignuæe mnogima u izraelu i za znak osporavan -

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kizazi kiovu kisicho na uaminifu! mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara yoyote isipokuwa tu ile ya yona." basi, akawaacha, akaenda zake.

Croatian

naraštaj opak i preljubnièki znak traži, ali mu se znak neæe dati doli znak jonin." tada ih ostavi i ode.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadhi ya mafarisayo wakasema, "mtu huyu hakutoka kwa mungu, maana hashiki sheria ya sabato." lakini wengine wakasema, "mtu mwenye dhambi awezaje kufanya ishara za namna hii?" kukawa na mafarakano kati yao.

Croatian

nato neki izmeðu farizeja rekoše: "nije taj èovjek od boga: ne pazi na subotu." drugi su pak govorili: "a kako bi jedan grešnik mogao èiniti takva znamenja?" i nastade meðu njima podvojenost.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,934,696,088 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK