Results for kuihubiri translation from Swahili to Croatian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Croatian

Info

Swahili

ndiyo maana ninatamani pia kuihubiri habari njema kwenu ninyi mlioko huko roma.

Croatian

odatle moja nakana da i vama u rimu navijestim evanðelje.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alituamuru kuihubiri habari njema kwa watu wote na kushuhudia kwamba yeye ndiye aliyeteuliwa na mungu awe mwamuzi wa wazima na wafu.

Croatian

"on nam i naloži propovijedati narodu i svjedoèiti: ovo je onaj kojega bog postavi sucem živih i mrtvih!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa sababu ya kuihubiri habari njema mimi nateseka na nimefungwa minyororo kama mhalifu. lakini neno la mungu haliwezi kufungwa minyororo,

Croatian

za nj se ja zlopatim sve do okova, kao zloèinac. ali rijeè božja nije okovana!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nia yangu imekuwa daima kuihubiri habari njema popote pale ambapo jina la kristo halijapata kusikika, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.

Croatian

i to tako da sam se trsio navješæivati evanðelje ne gdje se veæ spominjao krist - da ne bih gradio na temeljima drugih -

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mshahara wangu ni kitu gani, basi? mshahara wangu ni fursa ya kuihubiri habari njema bure, bila kudai haki ninazostahili kwa kuihubiri.

Croatian

koja mi je dakle plaæa? da propovijedajuæi pružam evanðelje besplatno ne služeæi se svojim pravom u evanðelju.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana hata kama mnao maelfu ya walezi katika maisha yenu ya kikristo, baba yenu ni mmoja tu, kwani katika maisha ya kikristo mimi ndiye niliyewazaeni kwa kuihubiri habari njema.

Croatian

jer da imate u kristu i deset tisuæa uèitelja, ipak ne biste imali više otaca. ta u kristu isusu po evanðelju ja vas rodih!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ya kuwa mtumishi wa yesu kristo kwa watu wa mataifa. ni jukumu langu la kikuhani kuihubiri habari njema ya mungu ili watu wa mataifa mengine wapate kuwa dhabihu inayokubaliwa na mungu, dhabihu iliyotakaswa na roho mtakatifu.

Croatian

da budem bogoslužnik krista isusa meðu poganima, sveæenik evanðelja božjega te prinos pogana postane ugodan, posveæen duhom svetim.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,951,726,123 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK