From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wasaidieni watu wa mungu katika mahitaji yao; wapokeeni wageni kwa ukarimu.
pritjeèite u pomoæ svetima u nudi, gajite gostoljubivost!
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
walikuwa wakiuza mali na vitu vyao kisha wakagawana fedha kadiri ya mahitaji ya kila mmoja.
sva bi imanja i dobra prodali porazdijelili svima kako bi tko trebao.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mnajua ninyi wenyewe kwamba nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe, ili kujipatia mahitaji yangu na ya wenzangu.
sami znate: za potrebe moje i onih koji su sa mnom zasluivale su ove ruke.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri kutoka kwa wale wasio wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.
te tako èasno ivite prema onima vani i nikoga ne trebate.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha akamwamuru yule jemadari amweke paulo kizuizini, lakini awe na uhuru kiasi, na rafiki zake wasizuiwe kumpatia mahitaji yake.
satniku pak naredi da se pavao èuva, ali da uiva olakice i da se nikomu od njegovih ne brani posluivati ga.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nilipofanya kazi kati yenu, mahitaji yangu yaligharimiwa na makanisa mengine. kwa namna moja au nyingine niliwapokonya wao mali yao nipate kuwatumikia ninyi.
druge sam crkve plijenio, od njih primao potporu da bih mogao vama sluiti. i dok bijah u vas, premda u oskudici, nikomu nisam bio na teret.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kila mlicho nacho sasa cha ziada kiwasaidie wale wanaohitaji, ili nao wakati watakapokuwa na ziada, wawasaidie ninyi katika mahitaji yenu, na hivyo kuwe na usawa.
u sadanjem trenutku va suviak za njihovu oskudicu da jednom njihov suviak bude za vau oskudicu - te bude jednakost,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hiyo, mitume kumi na wawili waliita jumuiya yote ya wanafunzi, wakasema, "si vizuri sisi tuache kulihubiri neno la mungu ili tushughulikie ugawaji wa mahitaji.
dvanaestorica nato sazvae mnotvo uèenika i rekoe: "nije pravo da mi napustimo rijeè boju da bismo sluili kod stolova.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi, yesu ndiye kuhani mkuu ambaye anatufaa sana katika mahitaji yetu. yeye ni mtakatifu, hana hatia wala dhambi ndani yake; hayumo katika kundi la wenye dhambi na ameinuliwa mpaka juu mbinguni.
takav nam veliki sveæenik i bijae potreban - svet, neduan, neokaljan, odijeljen od grenika i uzvieniji od nebesa -
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wao wenyewe wameamua kufanya hivyo; lakini, kwa kweli, hilo ni jukumu lao kwa hao. maana, ikiwa watu wa mataifa mengine wameshiriki baraka za kiroho za wayahudi, wanapaswa nao pia kuwahudumia wayahudi katika mahitaji yao ya kidunia.
da, odluèie, a i dunici su im. jer ako su pogani postali sudionicima njihovih duhovnih dobara, duni su im u tjelesnima posluiti.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: