Results for majira translation from Swahili to Croatian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Croatian

Info

Swahili

ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira yatakapotukia mambo haya.

Croatian

a o vremenima i trenucima nije, braæo, potrebno pisati vam.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kumtuma kwako artema au tukiko, fanya bidii kuja nikopoli unione, maana nimeamua kukaa huko wakati wa majira ya baridi.

Croatian

kad pošaljem k tebi artemu ili tihika, požuri se k meni u nikopol jer sam odluèio ondje prezimiti.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. ebulo, pude, lino na klaudia wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.

Croatian

nastoj doæi prije zime. pozdravlja te eubul, pudencije, lino, klaudija i sva braæa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yesu akawaambia, "nyakati na majira ya mambo hayo viko chini ya mamlaka ya baba yangu, wala si shauri lenu kujua yatakuwa lini.

Croatian

on im odgovori: "nije vaše znati vremena i zgode koje je otac podredio svojoj vlasti.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila majani matupu, kwa vile hayakuwa majira ya mtini kuzaa matunda.

Croatian

ugleda izdaleka lisnatu smokvu i priðe ne bi li na njoj što našao. ali došavši bliže, ne naðe ništa osim lišæa jer ne bijaše vrijeme smokvama.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na alfajiri mwasema: leo hali ya hewa itakuwa ya dhoruba, maana anga ni jekundu na tena mawingu yametanda! basi, ninyi mnajua sana kusoma majira kwa kuangalia anga, lakini kutambua dalili za nyakati hizi hamjui.

Croatian

a ujutro: 'danas æe nevrijeme, nebo se tamno zacrvenjelo.' lice neba znadete rasuditi, a znakove vremena ne znate.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,950,814,424 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK