Results for thamani translation from Swahili to Croatian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Croatian

Info

Swahili

kwa hiyo msiogope; ninyi mu wa thamani kuliko shomoro wengi.

Croatian

ne bojte se dakle! vredniji ste nego mnogo vrabaca."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alipopata lulu moja ya thamani kubwa, alienda akauza yote aliyokuwa nayo, akainunua lulu ile.

Croatian

pronaðe jedan dragocjeni biser, ode, rasproda sve što ima i kupi ga."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtu ana thamani kuliko kondoo! basi, ni halali kutenda mema siku ya sabato."

Croatian

a koliko je èovjek vredniji od ovce! tako, slobodno je subotom èiniti dobro!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

je, tunaitumia imani kuibatilisha sheria? hata kidogo; bali tunaipa sheria thamani yake kamili.

Croatian

obeskrepljujemo li dakle zakon po vjeri? nipošto! naprotiv, zakon utvrðujemo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ukuta huo ulikuwa umejengwa kwa mawe mekundu ya thamani, na mji wenyewe ulikuwa umejengwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo.

Croatian

zidine su gradske sagraðene od jaspisa, a sam grad od èistoga zlata, slièna èistu staklu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uking'aa kwa utukufu wa mungu. mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani kubwa kama yaspi, angavu kama kioo.

Croatian

sav u slavi božjoj, blistav poput dragoga kamena, kamena slièna kristalnom jaspisu;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya wanafunzi walikuwa wanazungumza juu ya hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya thamani, pamoja na sadaka zilizotolewa kwa mungu. yesu akasema,

Croatian

i dok su neki razgovarali o hramu, kako ga resi divno kamenje i zavjetni darovi, reèe:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bali, uzuri wenu unapaswa kutokana na hali ya ndani ya utu wa kweli, uzuri usioharibika wa wema na utulivu wa roho, ambao ni wa thamani kubwa mbele ya mungu.

Croatian

nego: èovjek skrovita srca, neprolazne ljepote, blaga i smirena duha. to je pred bogom dragocjeno.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili yakuti samawati, la tatu kalkedoni, la nne zamaradi,

Croatian

temelji su gradskih zidina urešeni svakovrsnim dragim kamenjem: prvi je temelj od jaspisa, drugi od safira, treæi od kalcedona, èetvrti od smaragda,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chukueni kwa mfano, kunguru: hawapandi, hawavuni wala hawana ghala yoyote. hata hivyo, mungu huwalisha. ninyi mna thamani zaidi kuliko ndege!

Croatian

promotrite gavrane! ne siju niti žanju, nemaju spremišta ni žitnice, pa ipak ih bog hrani. koliko li ste vi vredniji od ptica!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenu ninyi mnaoamini, jiwe hilo ni la thamani kubwa; lakini kwa wale wasioamini, "jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi."

Croatian

vama dakle koji vjerujete - èast! a onima koji ne vjeruju - kamen koji odbaciše graditelji postade kamen zaglavni

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

shabaha yake ni kuthibitisha imani yenu. hata dhahabu yenyewe ambayo huharibika, hujaribiwa kwa moto; hali kadhalika na imani yenu ambayo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu, ni lazima ijaribiwe ipate kuwa thabiti. hapo mtapokea sifa na utukufu na heshima siku ile yesu kristo atakapofunuliwa.

Croatian

da prokušanost vaše vjere - dragocjenija od propadljivog zlata, koje se ipak u vatri kuša - stekne hvalu, slavu i èast o objavljenju isusa krista.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,927,570,029 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK