From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
naye akawafungulia malaika hao wanne ambao walikuwa wametayarishwa kwa ajili ya saa hiyo ya siku ya mwezi huo, wa mwaka huohuo, kuua theluthi moja ya wanaadamu.
i odrijeena bijahu èetiri anðela, spremna za taj èas i dan i mjesec i godinu, da pobiju treæinu ljudi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wanaadamu wengine waliobaki ambao hawakuuawa na mabaa hayo, hawakugeuka na kuviacha vitu walivyokuwa wametengeneza kwa mikono yao wenyewe; bali wakaendelea kuabudu pepo, sanamu za dhahabu, fedha, shaba, mawe na miti, vitu ambavyo haviwezi kuona, kusikia wala kutembea.
ipak, preostali ljudi, to ne poginue od tih zala, ne obratie se od djela ruku svojih, da se vie ne klanjaju zlodusima i kumirima - ni zlatnima, ni srebrnima, ni mjedenima, ni kamenima ni drvenima koji niti vide niti èuju nit hodaju -
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: