Results for alifanya translation from Swahili to Czech

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Czech

Info

Swahili

alifanya

Czech

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Czech

Info

Swahili

mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya paulo.

Czech

a divy veliké činil bůh skrze ruce pavlovy,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa yesu alifanya miujiza hii yote mbele yao, wao hawakumwamini.

Czech

a ačkoli tak mnohá znamení činil před nimi, však jsou neuvěřili v něho,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa vile yesu alifanya jambo hilo siku ya sabato, wayahudi walianza kumdhulumu.

Czech

a protož protivili se Židé ježíšovi, a hledali ho zabíti, že to učinil v sobotu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila sabato alifanya majadiliano katika sunagogi akijaribu kuwavuta wayahudi na wagiriki.

Czech

i hádal se v škole na každou sobotu a k získání přivodil i Židy i Řeky.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alifanya hivyo, maana alijisemea, "nikigusa tu vazi lake, nitapona."

Czech

neb řekla byla: dotknu-li se jen roucha jeho, uzdravena budu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivyo, yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.

Czech

procítiv pak jozef ze sna, učinil, jakož mu přikázal anděl páně, a přijal manželku svou.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alifanya hivyo kwani alifikiri moyoni: "nikigusa tu vazi lake, nitapona."

Czech

nebo řekla sama v sobě: dotknu-li se jen toliko roucha jeho, uzdravena budu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na mwenyezi mungu alifanya agano na wana wa israili. na tukawateulia kutokana nao wakuu kumi na mbili.

Czech

a již kdysi bůh přijal úmluvu od dítek izraele a dali jsme povstat mezi nimi dvanácti vůdcům.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 4
Quality:

Swahili

alifanya hivyo apate kuwatayarisha watu wote wa mungu kwa ajili ya kazi ya huduma ya kikristo ili kuujenga mwili wa kristo,

Czech

pro spořádání svatých, k dílu služebnosti, k vzdělání těla kristova,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alifanya ishara hii ya kwanza huko kana, galilaya, akaonyesha utukufu wake; nao wanafunzi wake wakamwamini.

Czech

to učinil ježíš počátek divů v káni galilejské, a zjevil slávu svou. i uvěřili v něho učedlníci jeho.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha yesu akaanza kuilaumu miji ambayo, ingawaje alifanya miujiza mingi humo, watu wake hawakutaka kubadili nia zao mbaya:

Czech

tehdy počal přimlouvati městům, v nichžto činěni jsou jeho mnozí divové, že pokání nečinili.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu alifanya hivyo kusudi matakwa ya haki ya sheria yatekelezwe kikamilifu ndani yetu sisi ambao tunaishi, si kwa nguvu za kibinadamu, bali kwa nguvu ya roho.

Czech

aby spravedlnost zákona vyplněna byla v nás, kteříž nechodíme podle těla, ale podle ducha.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii isaya yatimie: "yeye mwenyewe ameondoa udhaifu wetu, ameyachukua magonjwa yetu."

Czech

aby se naplnilo povědění skrze izaiáše proroka, řkoucího: onť jest vzal na se mdloby naše, a neduhy naše nesl.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo awali herode mwenyewe alikuwa ameamuru yohane atiwe nguvuni, akamfunga gerezani. herode alifanya hivyo kwa sababu ya herodia ambaye herode alimwoa ingawaje alikuwa mke wa filipo, ndugu yake.

Czech

ten zajisté herodes byl poslal a jal jana a vsadil jej do žaláře pro herodiadu manželku filipa bratra svého, že ji byl za manželku pojal.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninachotaka kusema ni hiki: mungu alifanya agano lake akalithibitisha; sheria ambayo ilitokea miaka mia nne na thelathini baadaye, haiwezi kulitangua hilo agano wala kuibatilisha hiyo ahadi.

Czech

totoť pak pravím: Že smlouvy prve od boha stvrzené, vztahující se k kristu, zákon, kterýž po čtyřech stech a po třidcíti letech začal se, nevyprazdňuje, tak aby slib boží v nic obrátil.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

herode alipogundua kwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa, alikasirika sana. akaamuru watoto wote wa kiume mjini bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yake wauawe. alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota.

Czech

tehdy herodes uzřev, že by oklamán byl od mudrců, rozhněval se náramně, a poslav služebníky své, zmordoval všecky dítky, kteréž byly v betlémě i ve všech končinách jeho, od dvouletých a níže, podle času, na kterýž se byl pilně vyptal od mudrců.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu alimtoa yesu kusudi, kwa damu yake, awe njia ya kuwaondolea watu dhambi zao kwa imani yao kwake. alifanya hivyo ili apate kuonyesha kwamba yeye ni mwadilifu. hapo zamani mungu alikuwa mvumilivu bila kuzijali dhambi za watu;

Czech

jehožto bůh vydal za smírci, skrze víru ve krvi jeho, k ukázání spravedlnosti své, skrze odpuštění předešlých hříchů,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtawala mkuu wa hong kong leung chun-ying alifanya mkutano na waandishi wa habari saa 9:30 alasiri akirudia msimamo wake kwamba mabadiliko ya uchaguzi yatafanyika kwa muundo uliowekwa na beijing na kwamba polisi watachukua hatua kwa maandamano yaliyo kinyume cha sheria, kwa mujibu wa sheria.

Czech

předseda výkonné rady hongkongu leung Čchun-jing uspořádal v 15:30 tiskovou konferenci, během které zopakoval svůj postoj – prohlásil, že hongkongská volební reforma musí být omezena pekingským rámcem a že policie v souladu s právem zakročí proti ilegálním protestům.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,793,770,062 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK