Results for twita translation from Swahili to Czech

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Czech

Info

Swahili

kwenye mtandao wa twita, vifijo vilitamalaki.

Czech

na twitteru byly oslavy v plném proudu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha kutoka mtandao wa twita @15mbcn_int

Czech

fotografie z twitteru, účet @15mbcn_int.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye mtandao wa twita, hussain albukhaiti anadai:

Czech

hussain albukhaiti na svém twitteru tvrdí:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

unaweza kumfuatilia marita seara kwenye mtandao wa twita.

Czech

maritu searu můžete sledovat na twitteru.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtandao wa twita unalipuka kwa furaha kufuatia kuachiliwa kwa alaa.

Czech

twitter bouří radostí z propuštění @alaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtumiaji mmoja wa twita alipendekeza wanachama wote wa boko haram wachinjwe:

Czech

jeden uživatel twitteru vyzval k vyvraždění všech členů boko haram:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zifuatazo ni baadhi ya katuni za zunar zilizowekwa kwenye mtandao wa twita.

Czech

níže přetiskujeme některé zunarovy karikatury z twitteru.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

endele kusoma kazi za desireé lozano na voces visibles hapa au kwenye mtandao wa twita.

Czech

desireé lozano i voces visibles můžete sledovat na twitteru.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alaa ana wafuasi zaidi ya laki 6.36 na maryam ana wafuasi wanaokaribia laki 1 kwenye mtandao wa twita.

Czech

alaa má na této mikroblogové stránce více než 636 tisíc následovníků, maryam je blízko počtu 101 tisíc.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchora katuni za kisiasa biantailajiao, kupitia mtandao wa twita, alionesha namna hiyo ya kijinga ya kujaribu kufuta historia:

Czech

politický kreslíř pien-tchaj-la-ťiao (biantailajiao) upozornil na twitteru na absurdní způsob, jakým je vymazávána historie:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watumiaji wa mtandao wa twita waliweka picha za tukio hilo la ghasia hizo. @imrika1874 aliweka picha ikimwonesha polisi akimwelekezea bunduki kwa waandamanaji, waliokuwa wamenyanyua mikono:

Czech

mnoho uživatelů twitteru sdílelo fotografie agresivního zákroku. @imrika1874 uveřejnila fotografii zachycující pořádkovou policii, jak stojí se zbraněmi proti poklidným protestujícím, kteří mají zvednuté ruce:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya trailtracker, ambayo marafiki wa wanablogu na waandishi hawa wamekuwa wakiitumia kuweka mara kwa mara taarifa za maendeleo ya kesi yao pamoja na hali yao, wanamwelezea atnaf kama mhabeshi ambaye "anafahamika kwa umahiri wake wa kutumia twita kusambaza kwa haraka habari motomoto za nchi yake".

Czech

na blogu, kde zastánci zatčených blogerů pravidelně zveřejňují nejnovější informace o jejich případu a jejich současném stavu, se o atnafovi píše jako o mladém etiopanovi, který je „známý tweetováním vzrušujících místních aktualit“.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,627,632,259 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK