Results for mama ni mlezi kanilea kwa mapenzi translation from Swahili to Danish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Danish

Info

Swahili

mama ni mlezi kanilea kwa mapenzi

Danish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Danish

Info

Swahili

mimi paulo, mtume wa kristo yesu kwa mapenzi ya mungu, na ndugu timotheo,

Danish

paulus, kristi jesu apostel ved guds villie, og broderen timotheus.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi paulo, niliyeitwa kuwa mtume wa kristo yesu kwa mapenzi ya mungu, na ndugu sosthene,

Danish

paulus, jesu kristi kaldede apostel ved guds villie, og broderen sosthenes

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawa wamekuwa watoto wa mungu si kwa uwezo wa kibinadamu, wala kwa nguvu za kimwili, wala kwa mapenzi ya mtu, bali mungu mwenyewe ndiye baba yao.

Danish

hvilke ikke bleve fødte af blod, ej heller af køds villie, ej heller af mands villie, men af gud.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana, viumbe viliwekwa katika hali ya kutojiweza kabisa, si kwa hiari yao, ila vilifanywa hivyo kwa mapenzi ya mungu. hata hivyo yapo matumaini,

Danish

thi skabningen blev underlagt forfængeligheden, ikke med sin villie, men for hans skyld, som lagde den derunder,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila kitu hufanywa kufuatana na mpango na uamuzi wa mungu; naye mungu ametuteua sisi tuwe watu wake kwa mapenzi yake katika kuungana na kristo, kufuatana na azimio alilofanya tangu mwanzo.

Danish

i hvem vi også have fået arvelodden, forud bestemte efter hans forsæt, der virker alt efter sin villies råd,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi paulo, mtume wa kristo yesu kwa mapenzi ya mungu, na ndugu timotheo, tunawaandikia ninyi mlio kanisa la mungu huko korintho, na watu wote wa mungu kila mahali katika akaya.

Danish

paulus, ved guds villie kristi jesu apostel, og broderen timotheus til guds menighed, som er i korinth, tillige med alle de hellige, som ere i hele akaja:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama wanaume na wanawake wanapobusiana, iwe kwa mapenzi au kwa kufahamiana, wanafanya hivyo kututumia haki yao ya usawa kama raia na inakuwa ni kuonyesha ajabu kuona kuwa kufanya hivyo ni kukuza hisia woga na chuki kwa mashoga, hali za kimapenzi, na hisia za kibaguzi zinazokuwa mzizi wa utamaduni wetu na ambazo lazima tuzibadilishe.

Danish

ved at kysse hinanden, af kærlighed eller broderskab, udøver vi vores ligestilling som borgere og påviser de dobbeltmoralske holdninger, som genererer homofobi, sexisme og den diskriminerende logik, som betegner vores kulturelle rødder, og som vi bør ændre.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,794,218,383 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK