Results for sauti ya, dhahabu translation from Swahili to Danish

Swahili

Translate

sauti ya, dhahabu

Translate

Danish

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Danish

Info

Swahili

wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami.

Danish

men de, som vare med mig, så vel lyset, men hørte ikke hans røst, som talte til mig.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, basi, kama asemavyo roho mtakatifu: "kama mkisikia sauti ya mungu leo,

Danish

derfor, som den helligånd siger: "i dag, når i høre hans røst,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha malaika wa sita akapiga tarumbeta yake. nami nikasikia sauti moja kutoka katika pembe nne za madhabahu ya dhahabu iliyokuwa mbele ya mungu.

Danish

og den sjette engel basunede, og jeg hørte en røst fra de fire horn på guldalteret, som står for guds Åsyn,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sauti ya mtu imesikika jangwani: mtayarishieni bwana njia yake, nyoosheni mapito yake."

Danish

der er en røst af en, som råber i Ørkenen: bereder herrens vej, gører hans stier jævne!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mvumo wa tarumbeta na sauti ya maneno. wale waliosikia sauti hiyo waliomba wasisikie tena neno jingine,

Danish

og ikke til basunens klang og til en talende røst, hvorom de, der hørte den, bade, at der ikke mere måtte tales til dem.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, "hii ni sauti ya mungu, si ya mtu."

Danish

og folket råbte til ham: "detergudsrøstog ikke et menneskes."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ni akina nani basi, waliosikia sauti ya mungu wakamwasi? ni wale wote walioongozwa na mose kutoka misri.

Danish

hvem vare da vel de, som hørte og dog voldte forbitrelse? mon ikke alle, som gik ud af Ægypten ved moses?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kweli nawaambieni, wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wafu wataisikia sauti ya mwana wa mungu, nao watakaoisikia, wataishi.

Danish

sandelig, sandelig, siger jeg eder, den time kommer, ja den er nu, da de døde skulle høre guds søns røst, og de, som høre den, skulle leve.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapa, yeye ni mshindi wa medali ya dhahabu kwa kukaa utupu katika suala lile la marie claire la utupu la mwaka 2011.

Danish

dette indlæg er en del af vores reportage om de olympiske lege i london 2012 .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mose alistaajabu sana kuona jambo hilo hata akasogea karibu ili achungulie; lakini alisikia sauti ya bwana:

Danish

men da moses så det, undrede han sig over synet, og da han gik hen for at betragte det, lød herrens røst til ham:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tuseme mtu mmoja ambaye amevaa pete ya dhahabu na mavazi nadhifu anaingia katika mkutano wenu, na papo hapo akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi machafu.

Danish

når der nemlig kommer en mand ind i eders forsamling med guldring på fingeren, i prægtig klædning, men der også kommer en fattig ind i smudsig klædning,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo msichana aliitambua sauti ya petro akafurahi mno, hata badala ya kuufungua ule mlango, akakimbilia ndani na kuwaambia kwamba petro alikuwa amesimama nje mlangoni.

Danish

og da hun kendte peters røst, lod hun af glæde være at åbne porten, men løb ind og forkyndte dem, at peter stod uden for porten.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani.

Danish

og de havde pansere som jernpansere; og lyden af deres vinger var som lyd af stridsvogne, når mange heste fare ud til kamp.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana patatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya tarumbeta ya mungu, naye bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni. ndipo wale waliokufa wakiwa wanamwamini kristo watafufuliwa kwanza.

Danish

thi herren selv skal stige ned fra himmelen med et tilråb, med overengels røst og med guds basun, og de døde i kristus skulle opstå først;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikatazama, na kumbe palikuwapo wingu jeupe hapo. na juu ya wingu hilo kulikuwa na kiumbe kama mtu. alikuwa amevaa taji ya dhahabu kichwani, na kushika mundu mkononi mwake.

Danish

og jeg, så, og se en hvid sky, og på skyen sad der en lig en menneskesøn med en guldkrone på sit hoved og en skarp segl i sin hånd.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maandiko yasema hivi: "kama mkisikia sauti ya mungu leo, msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi mungu."

Danish

når der sigs: "i dag, - når i høre hans røst, da forhærder ikke eders hjerter som i forbitrelsen":

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

malaika mwingine akafika, akiwa anachukua chetezo cha dhahabu, akasimama mbele ya madhabahu ya kufukizia ubani. naye akapewa ubani mwingi autoe sadaka pamoja na sala za watu wote wa mungu, juu ya madhabahu ya dhahabu iliyo mbele ya kiti cha enzi.

Danish

og en anden engel kom og stillede sig ved alteret med et guldrøgelsekar, og der blev givet ham megen røgelse, for at han skulde føje den til alle de helliges bønner på guldalteret foran tronen.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@djcleo1: afrika ya kusini imeshinda medali ya dhahabu katika mashindano ya olimpiki kupitia kwa cameron van der burgh na kuweka rekodi mpya ya dunia #jivuniemwafirkayakusini

Danish

dette har resulteret i, at han har fået kælenavnet 'golden boy' , og at han trender på twitter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

humo mlikuwa na madhabahu ya dhahabu kwa ajili ya kufukizia ubani, na sanduku la agano, ambalo lilikuwa limepakwa dhahabu pande zote, na ndani yake mlikuwa na chungu cha dhahabu kilichokuwa na mana; fimbo ya aroni iliyokuwa imechanua majani, na vile vibao viwili vilivyoandikwa agano.

Danish

som havde et gyldent røgelsealter og pagtens ark, overalt beklædt med guld, i hvilken der var en guldkrukke med mannaen, og arons stav, som havde blomstret, og pagtens tavler,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jambo hili ni wazi, kwani mungu aliweka siku nyingine ambayo inaitwa "leo". miaka mingi baadaye mungu alisema juu ya hiyo siku kwa maneno ya daudi katika maandiko yaliyokwisha tajwa: "kama mkisikia sauti ya mungu leo, msiifanye mioyo yenu kuwa migumu."

Danish

så bestemmer han atter en dag: "i dag", siger han ved david så lang tid efter, (som ovenfor sagt): "i dag, når i høre hans røst, da forhærder ikke eders hjerter!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,920,129,232 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK