Results for hatari translation from Swahili to Dutch

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Dutch

Info

Swahili

morris zolu, bwana afya, akiingia kwenye eneo lenye hatari.

Dutch

morris zolu, hygiënist, die de rode zone binnenkomt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi wote tulipumbazwa na tangazo kwamba amina aliachiliwa kwa mashitaka ya kumimiliki kifaa hatari.

Dutch

we zijn allemaal misleid door de aankondiging dat amina werd vrijgelaten na de aanklacht wegens het bezit van een brandbaar voorwerp.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchafuzi wa maji ya kunywa na vyanzo vya chakula, jambo ambalo linapelekea hatari nyingi za kiafya.

Dutch

vervuiling van drinkwater en voedselbronnen, hetgeen weer leidt tot een reeks gezondheidsrisico's.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadhalika kupuuza kunaweza kuifanya hali izidi kuwa ya hatari zaidi ya ilivyokuwa wakati wa utawala wa bush kwa sababu obama anaweza kukusanya viongozi wa kisiasa na maoni ya wananchi dhidi ya irani.

Dutch

als wij dit negeren, kan dit de situatie voor ons bovendien gevaarlijker maken dan het presidentschap van bush, want obama kan politieke leiders en de publieke opinie tegen iran mobiliseren.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanaharakati wa asasi ya uganda inayotetea haki za mashoga na wasagaji (lgbt) wanasema kuwa sheria hiyo inaifanya uganda kuwa sehemu hatari zaidi kwa mashoga duniani.

Dutch

ugandese lgbt-activisten zeggen dat uganda met deze wet een van de ergste plekken ter wereld wordt voor homoseksuele mensen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kupitia kampeni hii ya mtandaoni, tunahitaji kuwatambua na kuwahamasisha watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaotumia lugha zao za asili kwenye mtandao wa twita hususani kwenye lugha za wenyeji, zilizo kwenye hatari ya kutoweka na zinazozungumzwa na watu wachache, zote zikiwa hazijawakilishwa ipasavyo mtandaoni.

Dutch

deze campagne is bedoeld als erkenning en aanmoediging van de internetgebruikers die hun moedertaal op twitter gebruiken. hierbij richten we ons vooral op de inheemse, bedreigde en minderheidstalen, omdat die niet zo goed vertegenwoordigd zijn op het internet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo mei 30, mahakama ilimtoza amina faini ya dinari 300 za tunisia (150 euro) kwa "kumiliki kifaa hatari kisichoruhusiwa" -kemikali za kupulizia.

Dutch

op 30 mei gaf een rechtbank amina een boete van 300 tunesische dinar (150 euro) voor het 'ongeoorloofde bezit van een brandgevaarlijk voorwerp'- een busje pepperspray.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,917,884,243 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK