Results for (gmt 01:00) saa za ulaya ya kati translation from Swahili to English

Swahili

Translate

(gmt 01:00) saa za ulaya ya kati

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kufikia jana, shirika la afya duniani liliripoti visa 1,051,635 vilivyothibitishwa, ikiwa ni pamoja na visa 79,332 katika saa ishirini na nne kabla ya 10 asubuhi, saa za ulaya ya kati (0800 utc) mnamo tarehe 4 aprili.

English

by yesterday, the world health organization reported 1,051,635 confirmed cases, including 79,332 cases in the twenty four hours preceding 10 a.m. central european time (0800 utc) on april 4.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye mazungumzo ya gv juma hilo, tunazungumza na marafiki waishio serbia akiwemo mhariri wetu wa ulaya ya kati na mashariki radisic ili kuelewa hali ya mambo kwa mtazamo wa wenyeji kuhusu habari hizo.

English

on gv face this week, we talk to friends in serbia, including our central and eastern europe editor danica radisic to get a local perspective on the news.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa visa vingi vilivyothibitishwa kwenye mahabara vilitokea mashariki ya kati, visa kutoka nchi za nje vilivyoenea mara kwa mara kwa watu wengine hadi kwa watu waliotangamana nao kwa karibu vimeripotiwa katika nchi za ulaya na tunisia.

English

whereas most of the laboratory-confirmed cases originate from the middle east, imported cases with occasional secondary spreads to close contacts have been reported in various european countries and tunisia.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtiririko wa pesa zinazotumwa kulekea nne ya sehemu sita zilizowekwa na benki ya dunia uliongezeka zaidi ya ulivyotarajiwa – kwa asilimia 11 kuelekea ulaya ya mashariki na asia ya kati, asilimia 10.1 kuelekea asia ya kusini, asilimia 7.7 kuelekea asia mashariki na pasifiki na aslimia 7.4 kuelekea afrika kusini ya jangwa la sahara, bila kujali hali ngumu ya uchumi barani ulaya na katika sehemu nyingine walizofikia wahamiaji wa kiafrika.

English

remittance flows to four of the six world bank-designated developing regions grew faster than expected — by 11 percent to eastern europe and central asia, 10.1 percent to south asia, 7.6 percent to east asia and pacific and 7.4 percent to sub-saharan africa, despite the difficult economic conditions in europe and other destinations of african migrants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,945,687,215 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK