Results for abdel translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sharif abdel khouddous

English

sharif abdel khouddous

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ahmed abdel rahman ahakusahaulika.

English

and ahmed abdel rahman too was not forgotten.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

abdel rahman aliamriwa kulipa kiwango kile kile cha faini.

English

abdel rahman was also slapped a similar fine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa muda wote huu, abdel fattah amekuwa gerezani bila kesi yake kusikilizwa.

English

he is accused of “organising a ‘no to military trial for civilians’ protest”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ahdaf souief, shangazi wa abdel fattah, anasema kwa furaha:

English

ahdaf souief, abdel fattah's aunt, exclaims:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mona seif, dada wa abdel fattah, alifurahia kuachiliwa kwa kaka yake akisema:

English

mona seif, abdel fattah's sister, celebrates her brother's release saying:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila siku, ninamfikiria alaa abdel fattah na wengine waliofungwa isivyo haki nchini misri

English

everyday, i think about alaa abdel fattah and all other unjustly detained prisoners in egypt. #freealaa — jacob appelbaum (@ioerror) october 27, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jenerali abdel aziz ni miongoni mwa walioshiriki mapinduzi ya kijeshi nchini mauritania mwaka 2005.

English

general abdel aziz was also involved in a 2005 coup d'état in mauritania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na galal amr anaweka picha hii inayomwonyesha abdel fattah akimkumbatia mke wake manal hassan:

English

and galal amr shares this photograph showing abdel fattah embracing his wife manal hassan: "we will continue.." nadine marroushi translates the tweet:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pamoja na hati ya kuachiwa kwake, familia ya abdel fattah ilisubirishwa kwa masaa nje ya kituo cha polisi ili kumchukua.

English

despite the release order, abdel fattah's family was made to wait for hours outside the police station to collect him.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ahmed abdel-rahman amekuwa kizuizini kwa mwaka mmoja leo kwa sababu tu alisaidia kuwalinda wanawake dhidi ya udhalilishaji wa polisi

English

ahmed abdel-rahman has been in detention for1year today for protection a women from attacks of policeman #freealaa pic.twitter.com/oohhskz5tx — صامدون حتى النصر (@hendnafe3) october 27, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku mbili baadae mwendesha mashitaka wa eneo la downtown jijini cairo alitoa hati ya kukamatwa kwa mkurugenzi wa habari wa kituo hicho abdel fattah fayed.

English

two days later, the downtown cairo prosecutor issued an arrest warrant for the channel's news director abdel fattah fayed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa wote alaa na ahmed abdel rahman wamekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwezi wakisubiri uchunguzi, hakuna tarehe iliyopangwa na mahakama kwa ajili ya kusikiliza kesi.

English

although both alaa and ahmed abdel rahman have been detained for over a month pending investigation, no court date has been assigned yet for the case.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

abdel rahman, aliyekuwa mpita njia tu wakati wa maandamano, alikamatwa pamoja na abdel fattah, alipokuwa akiwasaidia wasichana waliokuwa wanadhalilishwa na polisi.

English

abdel rahman, who was passing by the protest, was arrested along with abdel fattah, as he was helping some girls who were being harassed by the police.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkuu wa majeshi ya ulinzi jenerali abdel fattah al sisi alisema kwenye tangazo lake lililorushwa moja kwa moja na televisheni dakika chache zilizopita kwamba jaji mkuu wa mahakama ya katiba adly mansour atakuwa rais mpya wa mpito na kwamba serikali ya umoja wa kitaifa itaundwa.

English

head of the egyptian armed forces general abdel fattah al sisi said in an announcement broadcast live minutes ago that the chief justice of the constitutional court adly mansour will be the new interim president and that a technocrat national government will be formed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwaka mmoja umepita tangu mwanablogu wa ki-misri alaa abdel fattah, mtu muhimu katika mapinduzi yaliyoendelea nchini misri, ahukumiwe kifungo kwa sababu tu ya uanaharakati wake.

English

it's been a year since the imprisonment of egyptian blogger alaa abdel fattah, an icon of the egyptian revolution, for his activism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkuu wa majeshi ya misri, generali abdel fattah al sisi, katika matangazo ya mojakwa moja dakika chache zilizo pita, alisema kuwa, jaji mkuu wa mahakama ya katiba ndiye atakayekuwa rais mpya wa mpito na kwamba serikali ya kitaifa ya kiteknokrasia itaundwa.

English

head of the egyptian armed forces general abdel fattah al sisi said in an announcement broadcast live minutes ago that the chief justice of the constitutional court will be the new interim president and that a technocrat national government will be formed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makamanda wa jeshi walitangaza kuundwa kwa baraza jipya la taifa na kiongozi wake, jenerali mohamed ould abdel aziz (mmoja kati ya majenerali wanne wa jeshi waliotimuliwa), kwenye radio na vituo vya televisheni vya serikali.

English

military commanders announced the formation of a new state council and its leader, general mohamed ould abdel aziz (one of the four fired generals), on state radio and television stations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,295,316 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK