Results for acha kujipa umuhimu kwenye maisha... translation from Swahili to English

Swahili

Translate

acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuna muda kwenye maisha bora kuishi maisha ya upweke kuliko furaha ya kujipendekeza

English

there's a better time to live a lonely life than to be happy.

Last Update: 2025-02-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

philippines: mti wa dita waokoa maisha ya watu 36 wakati wa mafuriko

English

philippines: dita tree saved 36 lives during floods · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kati ya watu hatari kudeal nao kwenye maisha ni wale ambao hupenda “excessive admiration

English

among the most dangerous people to deal with in life are those who love "excessive admiration."

Last Update: 2023-11-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

leo ni siku ya 19 ya mashambulizi ya israel kwenye makazi ya wapalestina, ambayo yamepoteza maisha ya watu wasiopungua 1,000 na kujeruhi wengine 6,000.

English

today is day 19 of an israeli offensive on the palestinian enclave, which has claimed the lives of at least 1,000 palestinians and injured 6,000 others.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kilichotokea hakikubaliki - malaysia ni nchi pekee ambapo shirika hilo hilo, aina hiyo hiyo ya ndege zimehusika kwenye majanga yanayopoteza maisha ya watu wengi ndani miezi michache.

English

what has happened is unprecedented – malaysia is the only country where the same carrier, the same type of planes have been involved in tragedies with loss of many lives within months.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatusiti kuuliza: je si vizuri fedha hizi zikatumika kuboresha maisha ya watu wa jimbo la vologodsk?

English

we hesitate to ask: can this money we spent to improve life in vologodsk region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aidha mchafuko ulikuwa mapinduzi ama vikosi vya usalama vilishindwa kuushughulikia machakato wa uteuzi vyema kwenye makao yao. splm imechafua sifa yake kwa kitendo cha kutia hatarini maisha ya watu wasio na hatia.

English

either it was a coup d'état or security forces mishandling reassignments in their quarters, the splm has tarnished its reputation by putting innocent lives at risk.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo tarehe 19 februari, maandamano ya kyiv yaliripotiwa kupoteza maisha ya watu wasiopungua 25 na wengine zaidi ya 1,000 wakijeruhiwa.

English

on february 19, the kyiv post reported that at least 25 people are dead and more than 1,000 are injured.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama akifanya hivyo, atapoteza fursa ya kubadilisha maisha ya watu wengi nchini indonesia ambao wanataka serikali ishinikizwe kutambua haki zao.

English

but if she does, she’ll miss a golden opportunity to transform the lives of many people in indonesia who need pressure on the government to recognize their rights."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

siku ya kwanza ilishuhudia vifo vya watu zaidi ya 40 mjini beirut; usiku wa siku ya pili maisha ya zaidi ya watu 120 jijini paris yalikatishwa.

English

the first took the lives of over 40 in beirut; the second took the lives of over 120 people and counting in paris.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi karibuni zilifanyika sherehe za kitaifa nchini rwanda kuadhimisha kumbukumbu ya kutimiza miaka 15 tangu mauaji ya kimbari. mauaji hayo yaliangamiza maisha ya watu wapatao 800,000.

English

today marks the end of a week of national mourning in rwanda to mark 15 years since the genocide which killed 800,000 people.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali ilivyo sasa ni moja wapo ya sababu ya jiji la antananarivo kuwa katika orodha ya moja wapo ya majiji yenye kiwango duni kabisa cha maisha duniani katika utafiti wa 2011 wa mercer kuhusu hali ya maisha ya watu.

English

the current situation is one of the reasons antananarivo has been ranked as one of the cities with the lowest quality of life in the world by the mercer’s 2011 quality of living survey.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu one tribe, many voices anatambua kuwa muziki wa mwanamuziki huyo ulikuwa ni muziki uliosindikiza maisha ya watu wengi wa karibeani , na ametuma kiungo kwa wasomaji ili waweze kusikiliza:

English

one tribe, many voices recognises that his music was a soundtrack to the lives of many caribbean people, even posting a link for readers to take a listen:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kikundi hicho kinahitaji kutengeneza upya sura ya mgogoro wa somalia kama vita ya wa-somali na wageni, na sio wa-somali wanaotafuta amani na kurudi kwenye maisha ya kawaida didi ya harakati za kikatili za jihad.

English

it desperately needs to reframe the conflict in somalia as somalis versus the foreigners, not as somalis who seek peace and a return to normalcy versus a toxic jihadi movement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati wa kimbunga kabambe kilichoitwa reming novemba 30, 2006, mwembe uliokoa maisha ya watu watano huko padang, mjini lagazpi (mkoa wa bicol katika kisiwa cha luzon).

English

during the onslaught of supertyphoon reming on november 30, 2006, a mango tree saved 5 lives in padang, legazpi city (bicol region in luzon island).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kikosi cha uokoaji topos méxico tlatelolco kimeanza kampeni ya kuomba michango ili kuweza kuungana na jitihada za uokoaji zinazoendelea baada ya tetemeko lenye ukubwa wa 7.8 kuitikisa nepal jumamosi iliyopita, na kukatisha maisha ya watu zaidi ya 4,000 na wengine 7,000 wakijeruhiwa.

English

the rescue brigade topos méxico tlatelolco has started a fundraising campaign to be able to join rescue efforts there after a 7.8 magnitude earthquake shook nepal last saturday, leaving more than 4,000 people death and 7,000 injured.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aidha, ugavi wa umeme usioaminika unagusa maisha ya idadi kubwa ya watu nchini humo.feowl ni mradi mpya unaotaribiwa na jamii unaolenga kukusanya, kusaili na hatimaye kutoa takwimu ambazo kwa sasa hazipatikani juu ya athari za ugavi duni wa umeme huko douala, eneo linalosifika kwa shughuli za uchumi nchini humo.

English

yet unreliable electricity supplies are also a major concern for the wider population. feowl is a new community-led initiative that aims to refine and provide currently absent data on the impact of poor electricity supply in douala, the economic center of cameroon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mdalasini, viungo, ubani, manemane, udi, divai, mafuta, unga na ngano, ng'ombe na kondoo, farasi na magari ya kukokotwa, watumwa wao na hata maisha ya watu.

English

and cinnamon, and odours, and ointments, and frankincense, and wine, and oil, and fine flour, and wheat, and beasts, and sheep, and horses, and chariots, and slaves, and souls of men.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku ifananayo na ile iliyogharimu maisha ya watu mara baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa tisa huko savar pembezoni mwa mji mkuu wa banglasesh, dhaka idadi ya vifo imeongezeka hadi 1,055, hadi sasa hili ndilo jingo lililowahi kuporomoka na kuua idadi kubwa zaidi ya watu tangu lilipotokea shambulizi la kigaidi mnamo tarehe 9/11, mfanyakazi mmoja mwanamke ajulikanaye kwa jina la reshma begum amekutwa akiwa hai baada ya kuzuiwa na vifusi vya jengo hilo kwa siku 17.

English

the same day that the death toll of a nine-story factory collapse in savar in the outskirts of bangladesh's capital city of dhaka rose to 1,055, now the deadliest building collapse since the 9/11 terrorist attacks, a female worker named reshma begum was found alive after being trapped in the rubble for 17 days.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,952,953,263 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK