Results for adimu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

tanzanite ni madini adimu yanayopatikana tanzania pekee.

English

tanzanite is a rare mineral that is only found in tanzania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shirika la dawa la italia liliwakumbusha umma kuwa ushahidi uliopo unaounga mkono dawa hiyo ni adimu na ya awali.

English

the italian pharmaceutical agency reminded the public that the existing evidence in support of the drug is scant and preliminary.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hakika inakera sana kwa waethiopia kwamba shirika la ndege ni moja ya mafanikio adimu ya kimataifa ya nchi hii inayofahamika kwa njaa na vita.

English

it’s particularly galling for ethiopians that the airline is one of the few international success stories for a country known mostly for famine and war.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sabzarman anaandika uwepo wa maelfu ya wanahabari na wageni wa kimataifa ni fursa adimu kwa ajili ya vuguvugu la kijani kufanya sauti yake isikike ulimwengunni.

English

sabzarman writes the presence of thousands of reporters and foreign guests is a rare opportunity for the green movement to make its voice heard in the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu pekee ambaye hana budi kupewa sifa zaidi za kufanikisha umoja huu adimu katika nchi za kiafrika si mwingine bali hayati baba wa taifa, mwalimu julius kambarage nyerere.

English

the one man who must take the most credit for this unity that is rare to find in any african country is the founding father the late mwalimu julius kabarage nyerere.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliachiwa huru kutoka gerezani mwaka 1990, na kuwa rais miaka minne baadae, na kuachia madaraka baada ya kutumikia kwa kipindi kimoja tu, kitendo adimu kufanywa na wenye madaraka barani afrika.

English

freed from prison in 1990, he became president four years later, and left office after serving only one term, a rare gesture in african politics.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vikwazo hivyo pia vinakuja katika kipindi ambapo shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu na idara ya serikali ya marekani ambazo kwa pamoja huweka kumbukumbu ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na biashara haramu inayoendelea ya usafirishaji kuvuka mipaka ya kimataifa ya mti adimu unaojulikana kama rosewood kutoka misitu ya nchi hiyo ya madagaska.

English

they also come on the heel of reports by amnesty international and the us state department that document multiple human rights violations and ongoing illegal international trafficking of precious rosewood from madagascar rain forests.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zeinobia aliandika hapa kuhusu ushindi huo kwa misri akisema: tulicheza mchezo mzuri dhidi ya ghana, na mwishowe gedo akawa sababu ya kuwafanya karibu ya wamisri milioni 80 kufurahi duniani kote, akawaunganisha pamoja katika wakati huo adimu bila kujali maana yake ya kisaikolojia au maana ya kisiasa au vyovyote.

English

zeinobia wrote here about the egyptian victory saying: we played a good game against ghana, and at the end fate made gedo the reason of making nearly 80 million egyptian happy around the globe, uniting them in a very rare occasion regardless of its psychological meaning or political meaning or whatever.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,200,868 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK