Results for akafanya translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

akafanya

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na katika kila matunda akafanya dume na jike.

English

and he placed in it two kinds of every fruit.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara yule aliyekabidhiwa talanta tano akafanya kazi nazo akapata faida talanta tano.

English

then he that had received the five talents went and traded with the same, and made them other five talents.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi anaye hiji kwenye nyumba hiyo au akafanya umra, si kosa kwake kuvizunguka.

English

it is no sin for one who visits the sacred house (in mecca) to walk seven times between (safa and marwah.)

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akaja, akatwaa mkate akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.

English

jesus then cometh, and taketh bread, and giveth them, and fish likewise.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na aliye tubu na akafanya mema, basi hakika huyo ametubu kweli kweli kwa mwenyezi mungu.

English

and he who repents and does righteousness does indeed turn to allah with [accepted] repentance.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sifa njema zote ni za mwenyezi mungu aliye umba mbingu na ardhi, na akafanya giza na mwangaza.

English

[all] praise is [due] to allah, who created the heavens and the earth and made the darkness and the light.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ndiye aliye itandaza ardhi na akaweka humo milima na mito. na katika kila matunda akafanya dume na jike.

English

and he it is who hath stretched forth the earth, and placed therein firm mountains and rivers; and of every fruit he hath placed therein two in pairs.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ukiwauliza; nani aliye umba mbingu na ardhi na akafanya jua na mwezi kuti'ii amri yake?

English

and if you asked them, “who created the heavens and the earth and regulated the sun and the moon?”

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kwa hayo akatoa matunda kuwa ni riziki yenu. na akafanya yakutumikieni majahazi yanayo pita baharini kwa amri yake, na akaifanya mito ikutumikieni.

English

allah is he who created the heavens and the earth and sent down water from the clouds, then brought forth with it fruits as a sustenance for you, and he has made the ships subservient to you, that they might run their course in the sea by his command, and he has made the rivers subservient to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliacha shule akiwa na umri mdogo na baada ya muda, akafanya kazi kama mfanyakazi wa ndani mpaka alipogunduliwa na andrew burchell kama mtu mwenye kipaji cha kuimba.

English

she dropped out of school at a young age and for quite some time, worked as a house help until she was discovered by andrew burchell as a talented singer.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi anaye hiji kwenye nyumba hiyo au akafanya umra, si kosa kwake kuvizunguka. na anaye jitendea mwenyewe kheri basi bila ya shaka mwenyezi mungu ni mwenye shukrani na mjuzi.

English

indeed safa and marwah are among the emblems of allah: it is, therefore, no sin for him, who performs hajj or `umrah to the house of aiiah, to run between the two hills; and allah knows and appreciates him who does any good with a willing heart.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akaitwaa ile mikate, akamshukuru mungu, akawagawia watu waliokuwa wameketi; akafanya vivyo hivyo na wale samaki, kila mtu akapata kadiri alivyotaka.

English

and jesus took the loaves; and when he had given thanks, he distributed to the disciples, and the disciples to them that were set down; and likewise of the fishes as much as they would.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, "nyosha mkono wako." naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.

English

and looking round about upon them all, he said unto the man, stretch forth thy hand. and he did so: and his hand was restored whole as the other.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na ukiwauliza; nani aliye umba mbingu na ardhi na akafanya jua na mwezi kuti'ii amri yake? bila ya shaka, watasema: mwenyezi mungu.

English

and if thou wert to ask them: who created the heavens and the earth, and constrained the sun and the moon (to their appointed work)? they would say: allah.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

malaika akamwambia, "jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako." akafanya hivyo. kisha huyo malaika akamwambia, "vaa koti lako, unifuate."

English

and the angel said unto him, gird thyself, and bind on thy sandals. and so he did. and he saith unto him, cast thy garment about thee, and follow me.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,747,125,478 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK