Results for akamwona translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na akamwona mara nyingine,

English

and assuredly he saw him at another descent.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo.

English

and he saw also a certain poor widow casting in thither two mites.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali kadhalika na mlawi mmoja, alipofika mahali akamwona, akapita kando.

English

and likewise a levite, when he was at the place, came and looked on him, and passed by on the other side.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando.

English

and by chance there came down a certain priest that way: and when he saw him, he passed by on the other side.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"mfalme alipoingia kuwaona wageni, akamwona mtu mmoja ambaye hakuvaa mavazi ya arusi.

English

and when the king came in to see the guests, he saw there a man which had not on a wedding garment:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni yesu.

English

and when she had thus said, she turned herself back, and saw jesus standing, and knew not that it was jesus.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja, sam alipokuwa akila ndizi pembeni mwa duka lake, akamwona msichana mrembo mzungu amekaa kulia mwa matatu.

English

one fine day, as sam was having a banana next to his shop, he spotted a beautiful white lady seated on the right hand side of the matatu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo tajiri, alikuwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona abrahamu kwa mbali na lazaro karibu naye.

English

and in hell he lift up his eyes, being in torments, and seeth abraham afar off, and lazarus in his bosom.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya hayo, yesu akatoka nje, akamwona mtoza ushuru mmoja aitwaye lawi, ameketi ofisini. yesu akamwambia, "nifuate!"

English

and after these things he went forth, and saw a publican, named levi, sitting at the receipt of custom: and he said unto him, follow me.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu akageuka akamwona, akamwambia, "binti, jipe moyo! imani yako imekuponya." mama huyo akapona saa ileile.

English

but jesus turned him about, and when he saw her, he said, daughter, be of good comfort; thy faith hath made thee whole. and the woman was made whole from that hour.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alipokuwa akipita, akamwona lawi mwana wa alfayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. yesu akamwambia, "nifuate!" lawi akasimama, akamfuata.

English

and as he passed by, he saw levi the son of alphaeus sitting at the receipt of custom, and said unto him, follow me. and he arose and followed him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo petro akageuka, akamwona yule mwanafunzi ambaye yesu alimpenda, anafuata (huyu mwanafunzi ndiye yule ambaye wakati wa chakula cha jioni, alikaa karibu sana na yesu na kumwuliza: "bwana ni nani atakayekusaliti?")

English

then peter, turning about, seeth the disciple whom jesus loved following; which also leaned on his breast at supper, and said, lord, which is he that betrayeth thee?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,944,442,406 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK