Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
picha na kevin downs.
image by kevin downs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.
now upon the first day of the week, very early in the morning, they came unto the sepulchre, bringing the spices which they had prepared, and certain others with them.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
alfajiri na mapema jumapili, kukiwa bado na giza, maria magdalene alikwenda kaburini, akaliona lile jiwe limeondolewa mlangoni pa kaburi.
the first day of the week cometh mary magdalene early, when it was yet dark, unto the sepulchre, and seeth the stone taken away from the sepulchre.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
arrow aliendelea kuwa mwanamuziki anayetafutwa sana huko karibeani na hivi karibuni kabisa alitumbuiza katika ufunguzi wa kombe la dunia la mchezo wa kriketi la mwaka 2007 pamoja na shaggy, byron lee na kevin lyttle.
arrow continued to be much in demand in the caribbean and most recently performed at the cricket world cup 2007 opening ceremonies with shaggy, byron lee and kevin lyttle.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia na walio bado kubaalighi miongoni mwenu mara tatu - kabla ya sala ya alfajiri, na wakati mnapo vua nguo zenu adhuhuri, na baada ya sala ya isha.
let your legal slaves and slave-girls, and those among you who have not come to the age of puberty ask your permission (before they come to your presence) on three occasions; before fajr (morning) prayer, and while you put off your clothes for the noonday (rest), and after the 'isha' (late-night) prayer.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
enyi mlio amini! nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia na walio bado kubaalighi miongoni mwenu mara tatu - kabla ya sala ya alfajiri, na wakati mnapo vua nguo zenu adhuhuri, na baada ya sala ya isha.
believers, let [even] those whom you rightfully possess, and those who are under age ask your leave on three occasions when they come in to see you: before the morning prayer, when you have taken off your garments in the heat of noon, and after the evening prayer.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: