Results for alifariki translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kaka yake babu yangu alifariki katyn.

English

brother of my grandfather died in katyń.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfanyakazi mwenzake na mzee pena pia alifariki.

English

a coworker of mr. pena's also died.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliwahishwa ufaransa, ambako alifariki dunia majuma kadhaa baadae.

English

he was rushed to france, where he died several weeks later.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

idara ya moto imethibitisha mwanamke mmoja alifariki dunia kwenye mlipuko wa mlima ontake

English

as of yet, her whereabouts are unknown.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika gari niliyiopaswa kuendesha, mgonjwa mmoja alifariki tulipokaribia kufika hospitali ya tarchileik.

English

in the car i had to drive, one patient died when we were about to reach tarchileik hospital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

cha kusikitisha, penalver alifariki mwaka wa 2006, bila kuushuhudia uhuru wa nchi yake aliyoipenda.

English

sadly, penalver passed in 2006, without seeing his beloved homeland free.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makazi na majengo yameharibiwa, na kifo kimoja ambapo mtoto alifariki baada ya ukuta kumuangukia.

English

homes and buildings have been damaged, one fatality when a child died after a wall fell on him.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mbunifu wa uturuki ya kisasa, mustafa kemal atatürk, alifariki akiwa kwenye kasri hili mwaka 1938.

English

the founder of modern turkey, mustafa kemal atatürk, died there in 1938.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

miaka mitatu iliyopita, mwanablogu mwingine, omid reza mir sayafi alifariki ndani ya gereza la iran katika mazingira ya kutatanisha.

English

three years ago, another blogger, omid reza mir sayafi died in an iranian prison under suspicious circumstances.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alifariki dunia mjini paris mnamo tarehe 11 novemba, 2004 na makala hayo yaliashiria kwamba hakufariki kwa njia ya kawaida ila aliwekewa sumu ya poloni.

English

he died in paris on 11 november, 2004 and the documentary alleges that rather than dying of natural causes, arafat was poisoned with polonium.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu mmoja alifariki na wengine 15 kujeruhiwa vibaya, huku idadi ya nyumba zinazokadiriwa kufikia 82,000 zikiripotiwa kukosa huduma ya nishati ya umeme.

English

one person died, 15 people were seriously injured and around 82,000 homes reportedly suffered power cuts.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

irfan khudi ali, mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu ambaye bila kuchoka aliweka wazi uonevu wa kikabila unaofanywa kwa washia wa hazara nchini pakistan, alifariki katika shambulio lililofuata.

English

irfan khudi ali, a prominent human rights activist who tirelessly highlighted the persecution of hazara shia in pakistan, passed away in the second attack.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ishara zote, kitabibu, kutoka kurugenzi ya uendeshaji mashtaka, kutoka kwenye familia na kutoka vyanzo vingine zinaashiria kuwa rais kwa masikitiko alifariki dunia jana na yupo kwenye nyumba ya mazishi huko afrika kusini.

English

all indications, medical, dpp, family and others sources indicate the president sadly passed away yesterday and he is at a funeral home in south africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kifo cha chiluba ambacho wananchi walikisikia kwanza kwa kupitia twita, kililishtua taifa ambalo miaka mitatu tu kabla, lilimzika rais aliyekuwa madarakani, levy mwanawasa ambaye alifariki nchini ufaransa baada ya kuzimia akiwa katika ziara ya kimataifa ya kikazi nchini misri.

English

chiluba’s death, which citizens first learnt of through twitter, shocked the nation which only three years before, had buried a sitting president, levy mwanawasa who died in france after collapsing in egypt while on international duty.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mehdi hassan khan ambaye alijulikana kama ‘mfalme ghazal’ alifariki jumatano ya tarehe 13, juni, 2012 baada ya kuugua kwa muda mrefu katika hospitali ya jiji la karachi nchini pakistan.

English

mehdi hassan khan also famously known as the ‘king of ghazal’ passed away on wednesday, 13, june, 2012 after a protracted illness, in a local hospital in karachi city of pakistan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@bassem_sabry: japo siwezi kuthibitisha haya kwa vyovyote, kuna hadithi maarufu sana inayodai kwamba baba wa mubarak aliishi miaka 104, na tena inasemekana alifariki dunia kwa ajali ya gari.

English

@bassem_sabry: while i cannot verify this at all, a popular story claims mubarak's father lived to 104 years of age, and supposedly died of a car accident.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,713,326 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK