Results for alisafiri mtunda translation from Swahili to English

Swahili

Translate

alisafiri mtunda

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

francisco alisafiri kutoka boston hadi new york ili kutimiza haki yake ya kupiga kura.

English

francisco traveled from boston to new york to exercise his right to vote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati apolo alipokuwa korintho, paulo alisafiri sehemu za bara, akafika efeso ambako aliwakuta wanafunzi kadhaa.

English

and it came to pass, that, while apollos was at corinth, paul having passed through the upper coasts came to ephesus: and finding certain disciples,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadae alisafiri kwenda new york kuhudhuria mkutano mkuu wa umoja wa mataifa, lakini alishindwa kuonekana wakati aliopangiwa kuhutubia ulipofika.

English

he later traveled to new york to appear before the united nations general assembly, but he missed his allotted time slot to deliver his speech.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

daktari huyu wa kike alisafiri kwenda syria kupitia uwanja wa kimataifa wa dubai na ugonjwa haukuwa umegunduliwa mpaka siku chache baada ya kuwasili kwake.

English

the female doctor travelled to syria through dubai international airport and the disease was not detected until a few days after her arrival.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

miaka mitano iliyopita mwezi huu, david alisafiri katika marekani kuanzia california mpaka havard kwa ajili ya warsha ya siku nzima kuhusu kublogu ulimwenguni.

English

five years ago this month, david traveled across the united states from california to harvard for a day-long workshop on global blogging.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atakihukumu kwamba kina hatia. maana yeye alisafiri kutoka mbali akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko solomoni.

English

the queen of the south shall rise up in the judgment with this generation, and shall condemn it: for she came from the uttermost parts of the earth to hear the wisdom of solomon; and, behold, a greater than solomon is here.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atashuhudia kwamba kina hatia. yeye alisafiri kutoka mbali, akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni; kumbe hapa pana mkuu zaidi kuliko solomoni.

English

the queen of the south shall rise up in the judgment with the men of this generation, and condemn them: for she came from the utmost parts of the earth to hear the wisdom of solomon; and, behold, a greater than solomon is here.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,928,411,135 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK