Results for aliyekamatwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

aliyekamatwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

@mohammedy: @turk4syria hakuna aliyekamatwa.

English

@mohammedy: @turk4syria nobody ever does.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi karibuni , kuna mtawa aliyekamatwa akichukua picha za video za wanawake waliokuwa uchi ambao walikuwa wamekwenda kwenye monasteri ili kujichotea maji yanayoaminika kuwa ya baraka, ambapo inaaminika kwamba maji yanayotolewa na mtawa huyo huwaondolea watu bahati mbaya na kuwafutia mambo yote mabaya.

English

recently, a monk was caught making a video of naked ladies who went to his monastery for religious watering, a belief that the water provided by the monk will release all bad incidents or bring luck to people.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo julai 23, 2013, zaidi ya raia 400 wa china wamesaini barua ya kushinikiza serikali ya china kumuachia huru xu zhiyong, ambaye ni mwanasheria mashuhuri na mpigania haki aliyekamatwa mnamo julai 16 baada ya kushinikiza kuachiwa kwa wanaharakati pamoja na kuratibu kampeni dhidi ya uovu unaofanywa na serikali.

English

more than 400 chinese citizens signed an open letter on july 23, 2013, calling on chinese authorities to release xu zhiyong, a prominent lawyer and rights campaigner who was detained on july 16 after calling for the release of activists and campaigning against government abuses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

filamu ya "difret" inajenga masimulizi yake kwenye tukio la aberash bekele — anayetumia jina la hirut kwenye filamu — msichana aliyekamatwa na wanaume na kutoroshwa kijijini kwa kutumia farasi ili akaolewe.

English

"difret" is based on the story of aberash bekele — called hirut in the film — a girl who was abducted by men on horseback outside her rural ethiopian village.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,744,661,200 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK