Results for aliyeko translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

media watch aliyeko trinidad na tobago waliliita shindano lile "la kustaajabisha!

English

trinidad and tobago-based media watch called the race "stunning! fantastic!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika nchi nyingi, matamshi ya kisiasa yanayomkosoa rais aliyeko madarakani ni jambo la kawaida.

English

in many countries, political statements by actors that criticize a sitting president are a perfectly ordinary occurrence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bloga jar of justice aliyeko dubai, anadhani kwamba hotuba ya obama ilikuwa na mapungufu:

English

jar of juice, a blogger based in dubai, felt that obama's speech was a bit lacking:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari mpya - zoezi la kuwahamisha watu kaskazini mwa chile lilifanyika kwa utulivu, kwa mujibu wa mwandishi wetu aliyeko arica.

English

latest news - evacuation in northern chile carried out calmly, according to our correspondent in arica.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alieleza namna utajiri wake utagawanya na kumwomba rais aliyeko madarakani joyce banda, ambaye alimtumikia, kumsaidia kulipa ada ya shule kwa mwanae.

English

he also outlined how his wealth would be distributed and asked incumbent president joyce banda, under whom he served, to help pay the school fees for his child.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu aliyeko mjini chennai, india, prahalathan kk, anasema kuwa kushangilia kifo cha prabhakaran ni utovu wa heshima kwa raia waliouwawa katika harakati za kuwezesha maangamizi ya ltte.

English

prahalathan kk, a blogger in chennai, india, says that rejoicing in prabhakaran's death is a diservice to the civilians killed in order to make the ltte's defeat possible.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akitafakari kuhusu vikwazo vinavyoandaliwa dhidi ya viongozi wa kitaifa wa madagaska, citoyenne malgache, ambaye ni mwanablogu aliyeko madagaska, anapatwa na hisia mchanganyiko kuhusu madhira mbalimbali yanayoweza kuwakabili raia wa kawaida wa madagaska.

English

reflecting upon the upcoming sanctions on national malagasy leaders, citoyenne malgache, a blogger based in madagascar, has mixed feelings about the possible consequences for the everyday malagasy citizens.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katikati ya vilio vya unafiki kutoka kwa wasanii wengi wa kijamaika ambao wanahisi kwamba mtindo wa dancehall pekee ndio unasakamwa, bloga wa kijamaika, madbull aliyeko huko cayman, anaandika kwamba anaunga mkono amri hiyo na anafikiri kuwa amri hiyo ienezwe na kuzuia mtindo wowote wa muziki unaotarajiwa kurushwa hewani.

English

amidst cries of hypocrisy by several jamaican artistes who feel that dancehall is being unfairly singled out, madbull, a jamaican blogger in cayman, writes that he fully supports the ban and thinks it should be extended to any genre of music being considered for public airplay.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

joe aliyeko uganda anahitimisha mjadala huo kwa makala anayoiita "utawala wa kiukoo?" akieleza kwamba uteuzi wa janet unaweza kuchukuliwa kama "ishara ya mambo yajayo."

English

joe in uganda summarizes the shake-up in a post titled "dynasty?", noting that janet's appointment "was widely seen as a sign of things to come."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,874,805,134 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK