From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanamtandao pia walijiuliza ikiwa rais aliyepita alijishtaki mwenyewe katika hotuba yake ya kuaga.
netizens also wondered whether the former president implicated himself in his farewell speech.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nchini mexico, kuna hali ya vita iliyoshindikana na machafuko, hii ni tokea rais aliyepita, felipe calderón, kuanzisha mkakati wa kukabiliana na madawa ya kulevya mnamo mwaka 2006. kwa kuzingatia kifo cha gregorio jiménez de la cruz, machafuko nchini mexico yanaendelea chini ya uangalizi wa enrique peña nieto.
in mexico there is an atmosphere of uncontrolled war and violence, ever since the previous president, felipe calderón, launched an attack on drugs in 2006. judging by the death of gregorio jiménez de la cruz, the violence in the country continues under the administration of enrique peña nieto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: