Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wakati mtu mmoja aliyepooza alipoletwa kwake akiwa amechukuliwa na watu wanne.
and they come unto him, bringing one sick of the palsy, which was borne of four.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza, "mwanangu, umesamehewa dhambi zako."
when jesus saw their faith, he said unto the sick of the palsy, son, thy sins be forgiven thee.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mara watu wakaja wamemchukua mtu mmoja aliyepooza maungo, amelala kitandani; wakajaribu kumwingiza ndani wamweke mbele ya yesu.
and, behold, men brought in a bed a man which was taken with a palsy: and they sought means to bring him in, and to lay him before him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
ni lipi lililo rahisi zaidi: kumwambia mtu huyu aliyepooza, umesamehewa dhambi zako, au kumwambia, inuka! chukua mkeka wako utembee?
whether is it easier to say to the sick of the palsy, thy sins be forgiven thee; or to say, arise, and take up thy bed, and walk?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini kwa sababu ya wingi wa watu, hawakuweza kuingia ndani. basi, wakapanda juu ya dari, wakaondoa vigae, wakamshusha huyo aliyepooza pamoja na kitanda chake, wakamweka mbele ya yesu.
and when they could not find by what way they might bring him in because of the multitude, they went upon the housetop, and let him down through the tiling with his couch into the midst before jesus.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo watu walimletea mtu mmoja aliyepooza mwili, amelazwa juu ya kitanda. yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza, "jipe moyo mwanangu! umesamehewa dhambi zako."
and, behold, they brought to him a man sick of the palsy, lying on a bed: and jesus seeing their faith said unto the sick of the palsy; son, be of good cheer; thy sins be forgiven thee.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting