From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
@almonaseron: wanawake walilazimishwa kuendesha mabasi ya polisi.
@almonaseron: women were just forced to ride the buses.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
majira ya saa10:55 jioni, @almonaseron alitangaza kuanza kwa maandamano, na alitwiti :
at 4.55pm, local time, @almonaseron announced the beginning of the sit-in and tweeted :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku hii ya tarehe 7 julai, iliitishwa na makundi ya mawakili yasiyofahamika, ambayo ni @e3teqal na @almonaseron .
the day, on july 7, was called for by anonymous advocacy groups @e3teqal and @almonaseron .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@almonaseron: mikutano kwa ajili ya kudai uhuru imeanza hivi punde: wanawake katika maeneo mbalimbali wanakutana kwa wakati mmoja.
@almonaseron: the sit-in for freedom just started: women from different areas simultaneously.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
makundi madogo ya wanawake wa saudi arabia, kwa wakati mmoja waliitisha “maandamano ya kudai uhuru” katika maeneo mbalimbali ya majiji ya saudi arabia mnamo juni 10, 2013. maandamano hayo yaliratibiwa na kikundi kisichofahamika cha mawakili @almonaseron , lengo likiwa ni kushinikiza kuachiwa huru kwa ndugu zao waliofungwa gerezani.
small groups of saudi women held simultaneous "sit-ins for freedom" across saudi cities on june 10, 2013, which were called for by anonymous advocacy group @almonaseron to call for release of their imprisoned relatives.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting