From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
amefariki
he is dead
Last Update: 2022-03-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baba wa ubatizo amefariki
the father of baptism
Last Update: 2021-07-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pengine prabhakan amefariki.
seems prabhakaran is dead.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
walimkata na panga, wakadhani amefariki.
when they hit him with the machetes, they thought he was dead.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mehdi hassan amefariki, lakini sihuzuniki.
mehdi hassan is dead, but i am not sad.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuna kaka yangu amefariki nipo msibani sijaenda mjini leo
i'm in a tragedy before i go to work today.
Last Update: 2022-06-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hivyo kwa kufafanua tu, mubarak amefariki na yu hai bado.
so to clarify, mubarak is dead/alive-ish.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@hayatelyamani: habari mpya: imethibitika mubarak amefariki #mubarak
@ekramibrahim: i think #mubarak has officially died. #egypt
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
praditpi: samak sundaravej, waziri mkuu wa 25 wa thailand, amefariki leo.
praditpi: samak sundaravej, 25th prime minister of thailand, passed away today.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndugu wa kike alikuwa amefariki, walikusanya fedha zote walizokuwa nazo na kwenda kumzika.
a female relative had died, they gathered all the money they had and set off to bury her.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siku mbili baadaye alihamishiwa hospitali kuu jijini rabat ambapo baadaye alitangazwa kwamba amefariki dunia.
two days after that he is transferred to the main hospital in rabat where he is pronounced dead.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nasikitika kutangaza kifo cha steven kanumba ambaye amefariki leo saa saba ya usiku, maiti ipo muhimbili hospitali.
its not good to judge anyone on this issue, only god can judge a person, imagine if you are the one judged by everyone as what is happening to lulu now!!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kim jong il, dikteta aliyetawala ufalme wa korea kaskazini kwa miongo mitatu, amefariki akiwa na umri wa miaka 69.
kim jong il, the north korean dictator who ruled the hermit kingdom for the past three decades, has died at the age of 69.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
*habari mpya: makamu wa rais wa malawi amethibitisha kwamba rais bingu wa mutharika amefariki dunia na ametangaza siku 10 za maombolezo.
*update 1: malawi's vice-president joyce banda has confirmed that president bingu wa mutharika has died and declared 10 days of mourning.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
msichana wa ivory coast mwenye miaka inayokadiriwa kufikia 20 alikutwa amefariki kwa kile kilichoripotiwa kuwa alisukumwa na kuanguka kutoka ghorofa ya 6 pale alipokuwa akidai mshahara wake huko beirut, lebanon.
a young ivorian woman of around 20 years old was found dead after having been reportedly pushed off the 6th floor of a building for demanding her salary in beirut, lebanon.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
samak sundaravej — gavana wa zamani wa bangkok, mwendeshaji wa kipindi cha mapishi, na waziri mkuu wa 25 wa thailand amefariki dunia tarehe 24 novemba.
samak sundaravej — former bangkok governor, cooking show host, and thailand's 25th prime minister passed away last november 24.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwisho, ikitokea unasoma habari hizi siku chache baadae, na una wasiwasi ikiwa mubarak yu hai au amefariki sasa, usijali, kuna namna unaweza kutuma maombi kwa ajili hiyo.
and finally, in case you are reading this few days later, and wondering whether mubarak is now alive or dead now, don't worry, there is an application for that.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
habari mpya: al jazeera inaripoti vifo 11, wamisri watatu, wajerumani watatu, mfaransa mmoja, 16 wamejeruhiwa, mfaransa mmoja amefariki, haya na mengineyo bado hayajathibitishwa.
update: al jazeera reporting 11 deaths, three egyptians, three germans, one french, 16 wounded, one french dead these and others remain to be confirmed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
serikali ya sri lanka imetangaza kwa kupitia vyombo vya habari vya taifa pamoja na ujumbe wa simu za mkononi mchana leo (jumatatu, 18 mei, 2009) kwamba kiongozi wa kundi linalotaka kujitenga la wa-tamil, the liberation tigers of tamil eelam (ltte), vellupillai prabhakaran, amefariki.
the government of sril lanka announced via state media and sms today (monday, may 18, 2009) afternoon that the leader of the liberation tigers of tamil eelam (ltte), vellupillai prabhakaran, is dead.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: