Results for amepagawa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

yesu alipokuwa anapanda mashuani, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo akamwomba amruhusu kwenda naye.

English

and when he was come into the ship, he that had been possessed with the devil prayed him that he might be with him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo.

English

as they went out, behold, they brought to him a dumb man possessed with a devil.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na katika lile sunagogi kulikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na roho ya pepo mchafu; akapiga ukelele wa kuziba masikio:

English

and in the synagogue there was a man, which had a spirit of an unclean devil, and cried out with a loud voice,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo watu wakamletea yesu kipofu mmoja ambaye alikuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. yesu akamponya hata, akaweza kusema na kuona.

English

then was brought unto him one possessed with a devil, blind, and dumb: and he healed him, insomuch that the blind and dumb both spake and saw.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipokuwa anashuka pwani, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo alimjia kutoka mjini. kwa muda mrefu mtu huyo, hakuwa anavaa nguo, wala hakuwa anaishi nyumbani bali makaburini.

English

and when he went forth to land, there met him out of the city a certain man, which had devils long time, and ware no clothes, neither abode in any house, but in the tombs.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,743,912 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK