Results for ametokea translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ametokea

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nilikutana na mtu mtaani leo asubuhi na yeye alikuwa ametokea eneo la jacmel ambalo lilipigwa vibaya na tetemeko.

English

met a man on the street this morning who comes from jacmel which was hit hard by the earthquake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiwa amezaliwa mwaka 1981 kwenye jimbo la pwani la mombasa, nyota ndogo ametokea kwenye historia ya kinyenyekevu.

English

born in 1981 in the kenyan coastal province of mombasa, nyota ndogo has come from a very humble background.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mshindani mwingine katika kigezo hiki ni han han, mwandishi wa riwaya mwenye ufanisi mkubwa ambaye pia ni dereva wa magari ya mashindano wa huko china ambaye ametokea kuwa mwanablogu aliyesomwa sana nchini china na mshiriki katika shindano la 100 bora wa gazeti la time.

English

another contender of this category is han han, a prolific novelist and race car driver from china who happens to be china's most read blogger and a contender for time magazine's top 100 list.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikizungumza kama mtoto wake, ningependa kuongeza kwamba mimi binafsi naamini kwamba kwa kujitolea kwake na kutoa sadaka yake binafsi, ametokea kuwa alama yenye thamani ambapo kupitia kwake, mateso ya watu wote wa burma yametambulika.

English

speaking as her son, however, i would add that i personally believe that by her own dedication and personal sacrifice she has come to be a worthy symbol through whom the plight of all the people of burma may be recognised.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,772,967,792 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK