From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tangu novemba 2013 alaa ametumia siku 575 gerezani.
since november 2013 alaa has spent 575 days behind bars.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
inamaanisha kwamba miaka yote hii waziri huyu ametumia udanganyifu kulipwa kama mtu mwenye shahada ya udaktari ...
it means he cheated all these years and got paid as a ph.d. holder...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akiwa safarini, mwanablogu na mwandishi wa makala indi sumarajiya ametumia zana ya twita kujadili kifo cha prabhakaran.
blogger and columnist indi samarajiva used twitter to discuss the death of prabhakaran while he was traveling.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanaharakati wa misri ametumia mtandao wa youtube kuelezea anavyopinga utaratibu wa kulitumikia jeshi kwa lazima kwa raia wenye umri wa miaka kati ya 18 na 30.
an egyptian activist has turned to youtube to spell out his objection to the mandatory military service in the egyptian army, compulsory for men aged between 18 and 30.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akimudu vizuri kati ya kazi zake za kitaaluma na kufanya kazi za kujitolea, hisham ametumia miaka yake mingi kujibidisha kuboresha maisha na uhai wa jamii ya watu wa morocco akiwa kama mtetezi wa jumuia za kiraia na pia kama mtabibu.
balancing profession and passion, hisham has spent many years working to improve the lives and well-being of moroccans, both as a civil society advocate and as a medical doctor.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@nninanina: @omarc hiyo inadhihirisha utawala hautaki yeyote aone uhalifu wanaoufanya dhidi ya waandamanaji wasio na silaha, je, kuna tofauti gani kati ya #bahrain na qaddafi ambaye ametumia silaha dhidi ya watu wake
@nninanina: @omarc that proveregime doesnt want any 2 c crimes done against unarmed protesters what differ #bahrain from qaddafi using army against ppl
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: