From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
leo ametupwa mahabusu pasipo sababu zilizo bayana na hii ndiyo fursa ya kuonyesha urafiki wetu na kuthamini kwetu mchango wake.
today he is imprisoned for no clear reason and this is an opportunity to show our friendship and appreciation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alipopelekwa mahakamani mnamo tarehe 6 desemba, soudani alikana mashtaka yaliyotolewa dhidi yake na kueleza kwamba aliteswa vibaya sana wakati alipokuwa ametupwa kizuizini kinyume cha sheria.
during his court appearance on december 6, soudani denied the charges filed against him and stated that he was tortured aggressively during his extrajudicial detention.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
soudani alikuwa ametoweka kwa muda wa siku 18 mpaka pale polisi wa tunisia walipowasiliana na familia yake kuwataarifu kwamba kijana huyo alikuwa ametupwa katika gereza la murnaguiya, kiasi cha kilometa 15 kutoka katika mji mkuu wa tunis.
soudani was missing for 18 days until tunisia’s police contacted his family inform them that he is detained in the murnaguiya prison about 15km away from the capital tunis.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha nikasikia sauti kubwa kutoka mbinguni ikisema: "sasa ukombozi utokao kwa mungu umefika! nguvu na utawala wa mungu wetu umedhihirika. na kristo wake ameonyesha mamlaka yake! maana yule mdhalimu wa ndugu zetu, aliyesimama mbele ya mungu akiwashtaki usiku na mchana, sasa ametupwa nje.
and i heard a loud voice saying in heaven, now is come salvation, and strength, and the kingdom of our god, and the power of his christ: for the accuser of our brethren is cast down, which accused them before our god day and night.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting