Results for ameweka translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na mbingu ameziinua, na ameweka mizani,

English

and allah has raised the sky; and he has set the balance.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wessel's place ameweka yale yanayomkera kwenye blogu yake:

English

wessel's place puts up his frustrations on his blog:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ameweka nakala ya habari hizo kutoka gazetini na kuwauliza wasomaji wake:

English

he posts a copy of the clipping from the paper and asks his readers:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu ameweka vitu vyote chini ya miguu yake, akamkabidhi kwa kanisa akiwa mkuu wa vitu vyote.

English

and hath put all things under his feet, and gave him to be the head over all things to the church,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye blogu ya baraza, paula kahumbu ameweka mawasiliano kutoka okoa tembo ambayo kituo chake cha utafiti kiliangamia:

English

paula kahumbu shares on the baraza blog a communication from the save the elephants whose research base was destroyed:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiblogu kwenye blogu ya my digital life, the source ameweka malalamiko marefu aliyoyapa kichwa cha “wimbo wa ua kafir?”…

English

blogging at my digital life, the source puts up a fairly long rant entitled "kill the kafir song?" ...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

waziri mkuu najib razak, mtumiaji mkubwa na maarufu wa mitandao ya kijamii nchini malaysia, ameweka picha inayomwonyesha akiwa na mwanzilishi wa facebook mark zuckerberg.

English

prime minister najib razak, the most prominent and active social media user in malaysia, posted a photo of his meeting with facebook founder mark zuckerberg.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanasheria wa amina walisema kwamba alikuwa na kifaa hicho kwa sababu ya kujilinda, kufuatia vitisho vya kuuawa alivyopata mwezi machi, baada ya yeye kuwa ameweka picha inayomwonyesha bila nguo kifuani kwenye mtandao wa facebook.

English

amina's lawyers argued that she had the pepper spray for self-defense reasons, following the death threats she received last march, after she posted topless photographs of herself on facebook.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika makala hii ya blogu yake, harvey ameweka viungo vya maelezo muhimu kuhusu suala hilo ya kef ambayo unaweza kutaka kuyasoma ili kuona tatizo la pembe za ndovu na maana ya mapendekezo ya tanzania/zambia.

English

in this blog post, harvey has included links to the kef fact sheets that you may want to read in order to understand the ivory problem and the likely implication of the tanzania/zambia proposals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

p. destruel ameweka picha ifuatayo katika kuelezea taswara aliyoijenga kati ya mti na mtoto mdogo wa mfalme, akitumia kifungu cha maneno kutoka kwenye kitabu cha antoine de saint-exupéry:

English

p. destruel has added the following caption to explain the image he has made between the tree and the little prince, quoting a passage from the book by antoine de saint-exupéry:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

​ni jioni, wageni wanne wanaoingia katika hoteli ya the seamount katika mji mkuu wa gambia " banjul hakuna hata mmoja wao anayejua wengine watatu wa kwanza kuingia ni 609 karanja kimani, profesa katika taasisi ya maendeleo katika chuo kikuu cha nairobi, kenya. ameweka chumba kwenye ghorofa ya nne, upande wa mashariki. ngobile melusi, karibu 70, mwenzake na raia wa zimbabwe wa pili kuingia na anatengewa chumba kwenye ghorofa ya tano ya mrengo wa kusini. tatu kwa saa ni kama 50, chineke chi

English

​it is evening, four strangcrs check in at the seamount hotel in gambia's capital" banjul none of them knows the other three first to check in is about 609 karanja kimani, a professor in the institute of development at the university of nairobi, kenya. he's assigned a room on the fourth floor, east wing. ngobile melusi, about 70, a comrade and a citizen of zimbabweis second to check in and is allocated a room on the fifth floor of the south wing. third to clock in is about 50, chineke chi

Last Update: 2024-02-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,891,279,000 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK