Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
solana anaachia ngazi kutoka nafasi ya mhariri mtendaji, aliyoishikilia kwa miaka saba kuongoza bodi ya uhariri ya global voices.
solana steps down from the managing editor position after seven years at the helm of global voices' editorial section.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
medo joseph rais yoweri museveni anaachia ngazi, mke wa rais janet kataaha museveni amejitokeza kuwa mrithi anayeungwa mkono na rais! ukichaa wa kiafrika! ni lini afrika itaendelea?
medo joseph president yoweri museveni is stepping down,first lady janet kataaha museveni has emerged as the preferred successor to the president!african madness!when will africa develope?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
serikali yake ilikuwa na nafasi muhimu katika kusainiwa kwa makubaliano ya amani yaliyomaliza miongo kadhaa ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini sudani, ilionyesha kutaka kumaliza vita katika eneo la kongo, na ilisaidia kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini liberia, ikisaidia kuhakikisha charles taylor anaachia madaraka, na kisha akikamatwa na kushitakiwa.
it played a role in the signing of the peace agreement that brought an end to decades of civil war in sudan, showed a lot of interest in bringing an end to the wars in the congo region, and helped bring about an end to the civil war in liberia, helping ensure charles taylor’s resignation, and eventual arrest and prosecution.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: