Results for anahisi translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

anahisi

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

naye rafikiye na jiraniye, alice codjo, anahisi hivi.

English

this feeling is shared by her neighbor and friend, alice codjo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo kama umechukizwa au unasumbuliwa inaelekezwa kwa mwanamke unayemjali, jinsi gani baadhi yenu mna ujasiri kuuliza swali kama mwanamke anahisi kunyanyaswa?

English

so if it offends or bothers you went it is directed at a woman you care about, how can some of you actually have the nerve to question whether the woman feels harassed?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilhali anaikubali nafasi ya muziki wa dancehall katika jamii ya kijamaika na umuhimu wake katika utamaduni maarufu, anahisi kwamba muziki wa dancehall unawajibika kwa jamii iliyoikuza na unapaswa kubadili sura yake…

English

while he acknowledges the place of dancehall music in jamaican society and its importance as the centre of popular culture, he feels that dancehall has a responsibility to the society from which it springs to reform its image...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati wote enrique anahisi kuwa kushitakiwa kwake kulitokana nay eye kujihusisha na mambo ya siasa kwenye majukwaa huru, na tena alionesha mshikamano mkubwa na makundi ya kijamii kama vile zapatista cause, na pia kujihusisha na uanaharakati dhidi ya nafta.

English

enrique always suspected that his arrest was due to his political activities in public forums, for his solidarity with social causes, such as the zapatista cause, and for participating as an activist against nafta.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuanzia tarehe 4 januari, moroko imekuwa na waziri mpya wa sheria, mohammad naciri, ambaye anahisi ni lazima atumie nguvu zake ili afunge kijiji cha matumaini kwa sababu anaamini “wakristu wanawashawishi watu wabadili dini.”

English

as of january 4th, morocco has a new minister of justice (ironic) mohammad naciri, one who feels he must exercise his power in order to shut down the village of hope because he believes "christians are proselytizing."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,766,196,632 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK