From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.
and he withdrew himself into the wilderness, and prayed.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
waliendelea kumpiga mawe stefano, huku akiwa anasali: "bwana yesu, ipokee roho yangu!"
and they stoned stephen, calling upon god, and saying, lord jesus, receive my spirit.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha mungu; alikuwa anafanya mengi kusaidia maskini wa kiyahudi na alikuwa anasali daima.
a devout man, and one that feared god with all his house, which gave much alms to the people, and prayed to god alway.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
naye bwana akamwambia, "jitayarishe uende kwenye barabara inayoitwa barabara ya moja kwa moja, na katika nyumba ya yuda umtake mtu mmoja kutoka tarso aitwaye saulo. sasa anasali;
and the lord said unto him, arise, and go into the street which is called straight, and inquire in the house of judas for one called saul, of tarsus: for, behold, he prayeth,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting