From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa yule anayehusika
to whom it may concern
Last Update: 2023-08-18
Usage Frequency: 2
Quality:
baade aliruhusiwa kuondoka baada ya polisi anayehusika na habari kukithibitisha kitambulisho chake.
only after a police press officer confirmed his identity inside the van was he allowed to leave.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watumiaji wa twita wa nchini saudi arabia walianzisha kiungo ishara wakimtuhumu mtu wa mabahith kuwa ndiye anayehusika na kashfa hiyo.
saudi tweeps started a hashtag demanding that mabahith member be held accountable for slander.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
denis cogneau, anayehusika kwa utafiti katika taasisi ya utafiti wa maendeleo (ird), anaeleza kuwa hali hii ya kutokuwepo usawa barani afrika ina asili ya kihistoria inayoelezeka :
denis cogneau, responsible for research at the institute of research for development (ird), explains that these inequalities in africa have a well-defined historical origin :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baroness sayeeda hussain warsi (@sayeedawarsi), waziri mwandamizi wa uingerezera anayehusika na mambo ya nje na ushirikiano wa makoloni ya uingereza alitoa maoni yake mara baada ya kusikia habari za kuokolewa kwa reshma:
baroness sayeeda hussain warsi (@sayeedawarsi), senior minister of state for foreign and commonwealth affairs of uk, responded after hearing the news of reshma's rescue:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: