Results for atafanya translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ninatarajia atafanya kama alivyoahidi.

English

hope he delivers on his promises.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye anayewaita ninyi atafanya hivyo kwani ni mwaminifu.

English

faithful is he that calleth you, who also will do it.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tony lankester anatoa maoni yake katika “je malema atafanya nini?”:

English

tony lankester puts up his opinion in "what would malema do?":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alisema atafanya mageuzi nchini ndani ya kipindi cha miezi 6, lakini hakufanya chochote zaidi ya kuomba mitaani na kusababisha uharibifu.

English

he said he would reform the country for the past 6 months, yet he did nothing but begging on the streets and wreaking havoc.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kweli nawaambieni, anayeniamini atafanya mambo ninayofanya mimi; naam, atafanya hata makuu zaidi, maana nakwenda kwa baba.

English

verily, verily, i say unto you, he that believeth on me, the works that i do shall he do also; and greater works than these shall he do; because i go unto my father.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wanafikiri kuwa zuma anatufanya tuonekane kama manyani; naam julius atafanya vibaya zaidi ya mheshimiwa jz… akiwa usingizini!!!

English

people think that zuma makes us look like monkeys; well julius will do way worse than the honourable jz. . .in his sleep!!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengi katika ule umati wa watu walimwamini, wakasema, "je, kristo akija atafanya ishara kubwa zaidi kuliko alizozifanya huyu?"

English

and many of the people believed on him, and said, when christ cometh, will he do more miracles than these which this man hath done?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ikiwa roho wa mungu aliyemfufua kristo kutoka wafu anaishi ndani yenu, basi huyo aliyemfufua kristo kutoka wafu ataipa uzima miili yenu yenye hali ya kufa; atafanya hivyo kwa njia ya roho wake akaaye ndani yenu.

English

but if the spirit of him that raised up jesus from the dead dwell in you, he that raised up christ from the dead shall also quicken your mortal bodies by his spirit that dwelleth in you.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninyi, ingawa ni waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri. basi, baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi; atawapa roho mtakatifu wale wanaomwomba."

English

if ye then, being evil, know how to give good gifts unto your children: how much more shall your heavenly father give the holy spirit to them that ask him?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"au mwaonaje? tuseme mwanamke fulani ana sarafu kumi za fedha, akipoteza moja, atafanya nini? atawasha taa, aifagie nyumba na kuitafuta kwa uangalifu mpaka aipate.

English

either what woman having ten pieces of silver, if she lose one piece, doth not light a candle, and sweep the house, and seek diligently till she find it?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,913,957,874 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK