From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sasa ataishi miaka mingapi kenye ndoa hii kabla hajaitangaza rasmi?
now will he live as many years in this marriage before it is announced?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu akamwambia, "mimi ndimi ufufuo na uzima. anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi:
jesus said unto her, i am the resurrection, and the life: he that believeth in me, though he were dead, yet shall he live:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
baba aliye hai alinituma, nami naishi kwa sababu yake; vivyo hivyo anilaye mimi ataishi pia kwa sababu yangu.
as the living father hath sent me, and i live by the father: so he that eateth me, even he shall live by me.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini sheria haitegemei imani, ila maandiko yasema: "mwenye kutimiza yanayotakiwa na sheria ataishi."
and the law is not of faith: but, the man that doeth them shall live in them.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kuhusu kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa kuitii sheria, mose aliandika hivi: "mtu yeyote anayetimiza matakwa ya sheria ataishi."
for moses describeth the righteousness which is of the law, that the man which doeth those things shall live by them.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mimi ni mkate hai ulioshuka kutoka mbinguni. mtu yeyote akila mkate huu ataishi milele. na mkate nitakaompa ni mwili wangu ninaoutoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu."
i am the living bread which came down from heaven: if any man eat of this bread, he shall live for ever: and the bread that i will give is my flesh, which i will give for the life of the world.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ni dhahiri kwamba sheria haiwezi kumfanya mtu akubaliwe kuwa mwadilifu; maana maandiko matakatifu yasema: "mwadilifu kwa imani ataishi."
but that no man is justified by the law in the sight of god, it is evident: for, the just shall live by faith.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu alipokuwa akisema hayo, ofisa mmoja myahudi alifika, akamwinamia na kusema, "binti yangu amekufa sasa hivi. lakini, tafadhali njoo umwekee mkono wako naye ataishi."
while he spake these things unto them, behold, there came a certain ruler, and worshipped him, saying, my daughter is even now dead: but come and lay thy hand upon her, and she shall live.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting