Results for azimio la umoja translation from Swahili to English

Swahili

Translate

azimio la umoja

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

azimio la umoja

English

english

Last Update: 2022-03-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

who ilijumuisha lopinavir/ritonavir katika jaribio la kimataifa la umoja.

English

the who included lopinavir/ritonavir in the international solidarity trial.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuheshimu, kulinda na kukuza haki za wakimbizi wa kipalestina kurudi makwao na kwa mali yao kama ilivyoainishwa katika azimio la umoja wa mataifa 194

English

respecting, protecting and promoting the rights of palestinian refugees to return to their homes and properties as stipulated in un resolution 194.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

itakuwa vigumu kufikia azimio la vision 2030 iwapo watu hawatakataa ufisadi mdogomdogo.

English

it will be difficult if not impossible to meet our goals for vision 2030 if dont say no to petty corruption.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

rais wa gambia yahya jammeh akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa septemba 24, 2013.

English

president of the gambia yahya jammeh addresses the united nations general assembly on 24 september, 2013.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baraza la usalama la umoja wa mataifa limefikia azimio 2177 la kupambana na janga hilo linalohatarisha afya ya jamii.

English

the united nations security council has adopted resolution 2177 to deal with the public health crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika azimio la arusha la mwaka 1967 la mwalimu nyerere alisema “uhuru maana yake ni kujitegemea.

English

in the arusha declaration of 1967 by mwalimu nyerere he stated ‘independence means self-reliance.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mark leon kwenye toleo la umoja wa mataifa anatoa maoni kuhusu masononeko ya umma yanayoelekezwa kwa umoja wa mataifa:

English

mark leon goldberg at the un dispatch comments on the population's frustration towards the un:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa tangazo la "azimio la kikatiba" lilifanywa na wanamgambo hao wa houthi, mabadiliko mapya ya kimadaraka yanatokea.

English

with the announcement of the "constitutional declaration" by the houthis, a new power shift is taking place.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maandamano nje ya boma la umoja wa mataifa yaligeuka kuwa ghasia mwanzoni mwa juma wakati wenyeji wa mji wa goma waliporusha mawe kwenye boma hilo kutokana na kukata tamaa.

English

protests outside the un compound turned violent earlier this week as residents of goma hurled rocks at the compound in frustration.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pia walitoa wito kwa maadhimisho ya azimio la umoja wa mataifa kuhusu haki ya faragha katika zama za digitali juu ya sheria ya lazima ya mawasiliano ya simu, tamko la pamoja juu ya mipango ya ufuatiliaji na athari zake katika uhuru wa kujieleza kanuni 13 kuhusu haki za binadamu , ili kuhakikisha heshima ya haki za binadamu katika mtandao inakuwepo.

English

they also issued a call for the observance of the un resolution about right to privacy in the digital era on the complimentary law on telecommunicatons, the joint declaration about surveillance programs and their impact in freedom of expresson and the 13 principles about human rights, in order to ensure the respect of human rights in the internet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la bangkok, shirika la kuhudumia watoto la umoja wa mataifa lilitoa wito kwa serikali na viongozi wa maandamano kuwalinda watoto na kuwaweka mbali na maandamano.

English

after a grenade explosion killed three children in an anti-government protest site in bangkok, the united nations children’s fund urged government and protest leaders to protect children by keeping them away from protests.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

taariza zaidi kuhusu sheria ya uhuru wa kupata taarifa inapatikana katika tovuti ya tume ya kulinda haki ya kupata taarifa za umma na jukwaa la umoja wa upashanaji habari za kiraia "haki ya kujua."

English

more information about the foi law is available on the website of commission for protection of the right to free access to public information and the informative civil society portal "right to know."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mpango huu ni ushirikiano kati ya wizara ya mambo ya ndani, inayoshughulika na masuala ya wahamiaji, shirika la bima ya afya la irani na shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi (unhcr).

English

this is a collaboration between the ministry of interior, responsible for immigrant affairs, the iranian health insurance organization and the united nations high commissioner for refugees (unhcr).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lengo la umoja wa vyombo vya habari wa liberia umejikita haswa katika mambo ambayo siyo tu yanawakwamisha waandishi wa habari katika jukumu lao la kutafuta na kusambaza habari na taarifa muhimu kwa jamii, lakini pia, bila shaka yoyote, jambo jingine ni hili la kuhatarisha ushiriki wa vyombo vya habari katika vita ya kidunia ya kukabiliana na ugonjwa wa ebola.

English

the press union of liberia’s attention is specifically drawn to several circumstances that do not only restrain journalists in their obligation to seek out and share useful news and information with the public, but significantly threaten even media participation in the global fight against ebola.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

suarez, mwenye umri wa miaka 57, aliuwawa katika kile kilichoitwa “operesheni sodoma”, kama ambavyo rais juan manuel santos alivyothibisha kutokea mjini new york, ambako alikuwa akihudhuria mkutano wa baraza la umoja wa mataifa.

English

suárez, 57, was killed in the so-called "operation sodom", as president juan manuel santos confirmed from new york, where he is attending the united nations general assembly.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwezi wa machi, shirika la afya duniani (who) lilizindua "jaribio la umoja" ulioratibiwa katika nchi 10 ili kukagua haraka maelfu ya watu walioambikizwa na covid-19, ufanisi unaowezekana wa dawa za kuzuia virusi au kuzuia uvimbe ambazo bado hazijakaguliwa kwa ajili ya ugonjwa wa covid-19.

English

in march, the world health organization (who) launched the coordinated "solidarity trial" in 10 countries to rapidly assess in thousands of covid-19 infected people the potential efficacy of existing antiviral and anti-inflammatory agents not yet evaluated specifically for covid-19 illness.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,653,275,622 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK