From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa hiyo, hakutenda miujiza mingi pale kwa sababu ya kutoamini kwao.
and he did not many mighty works there because of their unbelief.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya kukaa pale kwa muda, tulifunga mizigo yetu, tukaendelea na safari kwenda yerusalemu.
and after those days we took up our carriages, and went up to jerusalem.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
bado naendelea kukutana na kufanya kazi na watu niliokutna nao katika jukwaa lile kamambe na nina matarajio ya kukutana na watu wengine tena wenye vipawa vya pekee katika global pulse 2010.
i still meet and work with people i met in that truly remarkable jam and expect to meet other extraordinary individuals in global pulse in 2010.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tulikimbia kuelekea lapa na tulitambua kuwa walikuwa wakiwarushia mabomu ya machozi hata watoto wadogo waliokuwa wanacheza pale, kwa hiyo tulienda kwa kupitia avenida chile kwenda cinelandia.
we run towards lapa and learned they were throwing tear gas even at the children who were playing there, so we went via avenida chile to cinelandia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ndio, unaweza kudhani sikuwa makini kwa kuacha mkoba wangu pale, kwa taarifa yako, ulikuwa umefichwa chini ya kiti kile kile mpaka nilipofikiri kuwa nimemaliza manunuzi!’
yes, you might be thinking i was careless leaving the bag there, fyi, it was hidden beneath that same seat until when i thought i had finished shopping!"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ninapitia kila siku nikijiambia kuwa nina mpenzi bora zaidi duniani. daima umekuwa pale kwa ajili yangu kwa njia ambazo siwezi kupata maneno ya kutosha kusema, na siwezi kamwe kupenda au kukushukuru kidogo. heri ya miezi mitano kwa ajili yetu.
i go through each day telling myself that i have the best boyfriend in the world. you’ve always been there for me in ways i can’t find words enough to tell, and i can’t ever love or appreciate you less. happy five months anniversary to us.
Last Update: 2021-12-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rt @patrickgaley: shahidi naame “tuliona mlipuko kama jua angani, ulikuwa pale kwa sekunde chache halafu ukatokomea kwenye giza” #et409
rt @patrickgaley: eyewitness naame "we saw an explosion in the sky like the sun, it was there for seconds then vanished into darkness"#et409
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.