Results for baga translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hali kama hiyo ilijitokeza baada ya mauaji ya baga nchini naijeria, yaliyotokea karibu wakati huo huo wa mauaji ya charlie hebdo.

English

there was a similar criticism after the baga massacre in nigeria, which occurred around the same time as the charlie hebdo killings.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati tukio la charlie hebdo lilivuta hisia za hisia za watu wengi huku zaidi ya wakuu 40 wa nchi walishiriki kwenye mkutano wa mshikamano wa kitaifa, tukio la mauaji ya baga halikupewa uzito unaostahili.

English

while the latter saw an unprecedented show of sympathy with more than 40 heads of states participating in a rally of national unity, the former received scant coverage and attention.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati macho yote yakiwa yameelekezwa ufaransa juma lililopita, shambulio la kigaidi lililofanywa na magaidi wa kidini na kukatisha maisha ya watu wengi katika mji wa kaskazini mashariki mwa naijeria uitwao baga halikupata kutangazwa na vyombo vingi vya habari duniani.

English

with all eyes turned on france last week, a massacre perpetrated by religious extremists in a northeastern nigerian town called baga barely registered around the globe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku za hivi karibuni, kundi la boko haram lilitekeleza kile kinachoelezewa na shirika la kutetea haki za binadamu, amnesty international, kuwa ni "moja ya mauaji ya halaiki ambayo hayakuwahi kufanywa na kundi hili" katika mji wa baga ulio kaskazini mashariki mwa jiji la borno.

English

recently, it conducted what amnesty international described as the group’s “deadliest massacre in recent history” in baga, a town in the north-eastern state of borno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,899,296,758 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK