From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kulipokucha, wanamaji hawakuweza kuitambua nchi ile, ila waliona ghuba moja yenye ufuko; wakaamua kutia nanga huko kama ikiwezekana.
and when it was day, they knew not the land: but they discovered a certain creek with a shore, into the which they were minded, if it were possible, to thrust in the ship.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wale wanamaji waliuvuta mtumbwi ndani, kisha wakaizungushia meli kamba na kuifunga kwa nguvu. waliogopa kwamba wangeweza kukwama kwenye ufuko wa bahari, pwani ya libya. kwa hiyo walishusha matanga na kuiacha meli ikokotwe na upepo.
which when they had taken up, they used helps, undergirding the ship; and, fearing lest they should fall into the quicksands, strake sail, and so were driven.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.