From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
bega kwa bega
shoulder to shoulder
Last Update: 2018-10-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana ýa bega kwa bega
ýa mean shoulder to shoulder
Last Update: 2022-09-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muungano wa kimataifa wa kukomesha vikwazo haramu vinavyoizingira gaza unaandaa kikundi cha kimataifa kitakachoandamana bega kwa bega na watu wa gaza, katika onyesho la amani la mshikamano ambalo lina matumaini ya kumaliza vikwazo huko gaza.
the international coalition to end the illegal siege of gaza is mobilising an international contingent to march alongside the people of gaza, in a non-violent show of solidarity and with the hope of ending the gaza blockade.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila kujali wasiwasi juu ya idadi inayokubaliana na maandamano, haya kwa kweli ni maandamano ya halaiki, na itakuwa mara ya kwanza kwa wapalestina kukusanyika pamoja kwa idadi kubwa pamoja na waunga mkono wa kimataifa: kuna takriban washiriki 1,300 wa kimataifa watakaoshiriki, ambao watakutana mjini cairo na kuandamana bega kwa bega na wakazi wanaokadiriwa kufikia 50,000 pindi watakapoingia gaza kupitia rafah.
despite concerns over the numbers endorsing the march, this is indeed a mass demonstration, and is the first time that palestinians will be coming together in such large numbers along with international support: there are an estimated 1,300 international participants participating, who will meet in cairo and march alongside a predicated 50,000 local residents once they have crossed into gaza through rafah.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: