From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hapo ndipo bendi ya tritha electric inaanza.
that's where tritha electric comes in.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
albamu mpya ya bendi ya tritha electric inaitwa pagli.
tritha electric's latest album is called pagli.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ah, hapana, alihitaji kuandika nyimbo zake mwenyewe nakumiliki bendi yake mwenyewe.
oh no, she needed to write her own songs and front her own band.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
melissa rose akapendekeza mubarak zombie liwe kama jina la bendi nzuri na buddhashag akatwiti:
melissa rose suggested mubarak zombie to be as cool band's name and buddhas hag tweeted:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
habari na video ya bendi ya jeshi kupiga wimbo huo zilisambaa haraka sana kwenye mtandao wa twita.
news and video of the military band's musical jab spread quickly on twitter.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati watumiaji wa youtube wakiendelea kusambaza video hii ya bendi kutoka ukraine iliyoandaliwa kwa ustadi mkubwa, baadhi ya watu wanahisi kuwa, yawezekana video video hii imeandaliwa kwa siri kama namna ya kutangaza bidhaa za apple kufuatia vifaa hivi vya apple kutumika katika kazi hii iliyotukuka.
as users continue to share the ukrainian band's video masterpiece on the web, some are jokingly speculating the video might secretly be an apple promotion, since the devices play such a prominent part.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
arrow alianza kuchanganya muziki wa calypso na mitindo mingine kama vile r&b, zouk na salsa na mnamo mwaka 1982 alishirikiana na muandaaji muziki leston paul pamoja na bendi yake ya multi national force na kurekodi santuri ya ‘hot hot hot.’
arrow began to fuse calypso with other genres such as r&b, zouk and salsa and in 1982 he worked with arranger leston paul and with his multi national force band to record the album `hot hot hot.`
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting