From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maana yake ni 'mwanamke mtukutu' kwa lugha ya ki-bengali.
that means "crazy woman" in bengali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
imekwishafahamika kuwa kuna mgogoro wa ardhi uliopo kati ya mjomba wa thomaching marma na wahamiaji wa bengali.
it has been learnt that conflict exists for land between the maternal uncle of thomaching marma and the bengali settlers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenye miaka ya 1980 hivi, serikali iliwaondoa wakazi wazawa wajulikanao kama marmas kutoka kwenye ardhi yao na kisha kuwakaribisha watu wa kutoka bengali.
during the early 1980s the government evicted the indigenous marmas from their land and settled bengalis there.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chama cha mrengo wa kushoto, ambacho kimevishutumu vyama vya bjp na congress kwa kutokuwa na nia ya kisiasa kuhusiana na sheria ya viti maalum vya wanawake, imewateua wagombea wawili tu wanawake kati ya wagombea 42 kwenye ngome yao ya jimbo la bengali ya mashariki, idadi hii ni ya chini zaidi ya wale watano ambao kiliwasimasha katika uchaguzi wa mwaka 2004."
the left front, which has accused both the bjp and the congress of lacking political will on the women’s reservation bill, has fielded only two women out of 42 candidates in its bastion west bengal, down from five it had fielded in 2004 elections.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting