From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
urusi: habari ya putin-berlusconi kwenye wikileaks
russia: wikileaks' putin-berlusconi story · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenye the daily beast, julia ioffe anatoa maoni juu ya masuala yaliyowekwa wazi katika wikileaks kuhusu uhusiano kati ya waziri mkuu wa urusi na mwenzake wa italia silvio berlusconi.
at the daily beast, julia ioffe comments on wikileaks' revelations about the relationship between the russian pm vladimir putin and his italian counterpart, silvio berlusconi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
serikali ya zamani ya italia, iliyoundwa na chama cha silvio berlusconi, popolo della libertà (watu wa uhuru), na chama cha umberto bossi cha msimamo mkali wa mrengo wa kulia kiitwacho northen league, ilijiandaa kisheria na kuchukua hatua dhidi ya uhamiaji nchini italia. hatua hizi zimekemewa mara kadhaa na mashirika ya kiraia pamoja na kanisa katoliki.
the old italian government, formed by silvio berlusconi's party, popolo della libertà (people of freedom), and umberto bossi's extreme right party, the northern league, created a legal arsenal and took steps against immigration in italy, which have been denounced on several occasions by civil society and the catholic church.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: