From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanaharakati kutoka bosnia na herzegovina, burundi, guatemala au zimbabwe wamekabiliana na vitisho au wamenyamazishwa.
activists from bosnia and herzegovina, burundi, guatemala or zimbabwe have faced threats or were being silenced.
kama taarifa kutoka burundi ni kweli, ningependa kuamini hawa jamaa hawakula njama na kumwita dar, wakijua atapinduliwa
if reports from #burundi are true, i hope these guys didn't blindside #nkurunziza and take him to dar, knowing he'd be ousted. — benjamin rukwengye (@bibirukwengye) may 13, 2015
kwa mfano, nchini uganda ambapo rais anaonekana kutafuta kuchanguliwa tena kwa muhula saba, watumiaji wa mtandao walisherehekea mapinduzi nchini burundi:
for example, in uganda where voters face the same predicament of a president that is seeking a fifth term, netizens celebrated the coup in burundi:
"injinia.murenzi daniel" alidhani kwamba rwanda na burundi zina hali tofauti kidogo linapokuja suala la ukomo wa urais:
"eng.murenzi daniel" thought rwanda and burundi presented very different third-term political scenarios:
hali bado inaonekana kuwatete nchini burundi, lakini hapa ni mhutasri wa kile kinachofahamika na kile kisichoeleweka vyema jijini bujumbura, mji mkuu wa penelope starr (kupitia blogu ya un dispatch):
the situation is evidently still very fluid in burundi, but here is summary of what is known and what is still not clear in bujumbura, the capital from penelope starr (via un dispatch blog):
kiel kinacotokea leo burundi ni mapaki ya kile kilichotokea mwishoni mwa mwaka jana nchini burkina faso, wakati mkuu wa nchi aliyetawala muda mrefu blaise compaore alipong'olewa madarakani na jeshi baada ya kutangaza dhamira yake ya kugombea tena kipindi kingine cha utawala.
what’s happening today in burundi is reminiscent of what took place late last year in burkina faso, when long-time head of state blaise compaore was deposed by the military after declaring his intention to run for yet another term.
matukio nchini burundi na nchi nyingine kama kongo (drc), burkina faso, na rwanda zimeendeleza mijadala inayoendelea miongoni mwa wa-afrika kuhusu ukomo wa madaraka.
the events in burundi and in other countries such as the democratic republic of congo, burkina faso, and rwanda have sustained a growing debate among africans about term limits.
chaguzi za rais na/au wabunge zitafanyika kwenye nchi za naijeria, sudan, ethiopia, burundi, tanzania, zambia, togo, ivory coast, mauritius, jamhuri ya afrika ya kati, burkina faso, naija, guinea, chadi, na misri na labda sudani kusini kutegemeana na makubaliano ya amani yanayotarajiwa kuwekewa saini.
presidential elections and/or legislative elections will be held in nigeria, sudan, ethiopia, burundi, tanzania, zambia, togo, ivory coast, mauritius, central africa republic, burkina faso, niger, guinea, chad, and egypt and may be south sudan depending on the peace deal to be signed.