From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
katika bustani ya juu,
in a lofty garden
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 9
Quality:
hema kwenye bustani ya linaungua sasa hivi.
a tent in is burning right now.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watu wa rika zote wakibadilishana 'stika' kwenye bustani ya wazi jijini skopje.
people of all ages exchanging stickers in skopje city park.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenye bustani ya watu wanapiga kelele "watumwa!" kwa titushki na kuwaonyesha noti)) wanakasirika na kuondoka
in people are shouting "slaves!" to titushki and show them money)) they get embarrassed and turn their heads away
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mamia ya watu walikusanyika kwenye bustani ya jiji la havana, makao makuu ya cuba, jumapili iliyopita kushiriki kwenye zoezi la ugawaji wa vitabu.
dozens of people gathered in a park in havana, the cuban capital, last sunday to participate in a massive book giveaway.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa sababu hiyo, mnamo aprili 18 ibada ya kuwaombea marehemu iliandiliwa kwenye bustani ya chaoyang katikati ya beijing kuwaenzi marehemu, waathirika pamoja na familia zao.
thus, on april 18 a vigil was organized in chaoyang park in central beijing to pay tribute to the victims and their families.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
saa 9 alfajiri, wakati akiandika habari za kutawanywa kwa watu kwa nguvu kwenye bustani ya tamar, mwandishi wa socrec alivutwa kuelekea walikokuwa polisi na alipigwa kwa sekunde 30.
at 3 a.m., when covering the clearing of tamar park, a reporter from socrec was pulled into the side of the riot police's line and beat up for about 30 seconds.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa bahati nzuri, hali ya hewa ilikuwa murua alasiri ya aprili 18, wanafunzi walipoanza kujikusanya kwenye moja wapo ya malango ya kuingilia bustani ya chaoyang ili kuwakumbuka marehemu wa shambulizi hilo la garissa.
fortunately, the weather was good on april 18 in the late afternoon, as the students started to gather at one entrance of chaoyang park to commemorate the victims.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
malkia norodom arunrasmey, ambaye ni mtoto wa hayati mfalme norodom sihanouk na kiongozi wa chama cha kifalme akiwapungia mkono wafuasi wake waliokusanyika katika bustani ya uhuru (freedom park) huko phnom penh.
princess norodom arunrasmey, daughter of late king norodom sihanouk and head of the royalist party, cheers her supporters gathered at the freedom park in phnom penh.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mfano, mbinu hii bora ya kutumia chupa za za maji plastiki zilizotupwa kwa ajili ya kutengeneza bustani ya kuelekea juu: picha ya kuotesha mbegu ni ya chrisseee kwenye mtandao wa flickr, inalindwa kwa hatimiliki ya creative commons attribution license.
for example, this is a great way to use up discarded plastic water bottles to grow food on a vertical garden: seedling image is by chrisseee on flickr, with a creative commons attribution license.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: